$ 0 0 Habari za hivi punde ni Kuwa Mzee wetu gwiji wa muziki wa dansi Muhidin Gurumo amefariki dunia muda mfupi uliopita.R.I.P Muhidin Ngurumo tutakukumbuka daima,ulikuwa alama kubwa ya muziki wa dansi Tanzania. Innah lillah wa innah illah rajuun!!