WAISLAMU MULEBA WAZUIWA KUFANYA MIHADHARA
Shekhe wa wilaya ya Muleba Zacharia Kagimbo MULEBA: WAUMINI wa dini ya kiislamu katika mji wa Muleba Mkoani Kagera juzi wamezuiwa na jeshi la polisi wilayani humo kuendelea na mhadhara wa dini yao kwa...
View ArticleCAMERA YETU MJINI BUKOBA LEO ALHAMISI APRILI 10,2014
Taswira mbalimbali na Camera yetu mapema ya leo mjini hapa, Pichana kulia ni Mkurugenzi wa Sheria na utawala Shirikisho la soka nchini TFF Ndugu Mdau Evodius akiteta jambo na Rais wa Balimi FC Mdau Al...
View ArticlePICHA YETU YA LEO
Hawa ndio tunawalipa laki tatu kila siku kwa ajili ya kutuandalia katiba mpya
View ArticleOFFER!OFFER!OFFER KWA 30% KUTOKA STAR TIMES TANZANIA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
Punguzo maalum la bei katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka, sasa unaweza kufurahia chaneli zaidi y 70 bila dish wala chengachenga, utapata king'amuzi kwa Tsh 79,000 badala ya 109,000.wahi package...
View ArticleBENDI YA KIJANJA SKYLIGHT YAZIDI KUPAGAWISHA MASHABIKI WAKE THAI VILLAGE
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Madiva wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige).Birthday Girl mdau wa...
View ArticleWA TZ WEPESI WA KUSAMEHE
Kifo cha Gaddafi, Watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau Na Prudence KarugendoJUMA lililopita niliandika makala yenye kichwa cha habari “Kifo cha Gaddafi ba maajabau ya Watanzania” lakini...
View ArticleSOKA (MPIRA WA MIGUU)HUKO KASHARUNGA MULEBA
Diwani Kata ya Kasharunga wilayani Muleba Alhaji Khalid Hussen akigawa zawadi kwa mshindi wa ligi ya Diwani,kama ilivyokuwa azma yake ambapo Kasharunga FC mshindi wa kwanza Kasharunga Fc wamepata...
View ArticleUBELIGIJI NA TANZANIA KUHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA RELI TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Reli Ubelgiji Bwana. Jacques Delaunoit baada ya kumaliza kikao cha kuandaa...
View ArticleBAADA YA NGARA KUTANGAZA UFAULU WA BRN, BIHARAMULO WASHINDI KIMKOA WATAKA...
Kaimu Afisa elimu wilayani Biharamulo Samwel Sammy akipanda mti katika shule ya msingi Nyamigogo iliyokuwa ya kwanza kiwilaya na kikata ikiwa ya 10 kimkoa na 26 kitaifa katika matokeo ya darasa la saba...
View ArticleOFFER!OFFER!OFFER KWA 30% KUTOKA STAR TIMES TANZANIA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
Punguzo maalum la bei katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka, sasa unaweza kufurahia chaneli zaidi y 70 bila dish wala chengachenga, utapata king'amuzi kwa Tsh 79,000 badala ya 109,000.wahi package...
View ArticleBALAA!! AJALI NYINGINE YATOKEA BK RWAMISHENYE (ROUND ABAUT) ASUBUHI YA LEO...
Taswira hii ndivyo ilivyo hali ya hewa kwa kutwa ya leo Jummosi Aprili 12,2014 ,Kupitia Bukobawadau Blog. Hivi ndivyo Gari lilivyogonga hodi sebuleni kwa mtu asubuhi ya leo majira ya Saa tatu na...
View ArticleNGURUMO HATUNAE TENA DUNIANI!!
Habari za hivi punde ni Kuwa Mzee wetu gwiji wa muziki wa dansi Muhidin Gurumo amefariki dunia muda mfupi uliopita.R.I.P Muhidin Ngurumo tutakukumbuka daima,ulikuwa alama kubwa ya muziki wa dansi...
View Article“EKA MBE” KANALI FABIAN MASSAWE
Na Prudence Karugendo NIANZE makala hii kwa usemi wa lugha maarufu mkoani Kagera, Kihaya, usemao kwamba “ebitagira mahyo tibyera”. Usemi huo hauna tafsiri ya moja kwa moja katika Kiswahili isipokuwa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM KINANA, NA VIONGOZI WENGINE WAWASILI SALAMA MKOANI KATAVI
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanal Mstaaf Issa Machibya akishuka kwenye boti usiku huu kwenye bandari ya Karema mkoani Katavi akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana,na Viongozi wengine wa...
View ArticleTAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITHE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tzFax:...
View ArticleTASWIRA KATIKA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO...
Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata...
View ArticleRAIS WA TFF MH.JAMAL MALINZI KUENDELEA KUWA MWENYEKITI WA (KRFA)
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA)Jamal Emil Malinzi akizungumza na Wajumbe waliojitokeza katika mkutano huo wa Utekelezaji wa Chama cha Mpira wa Miguu (KRFA) Mkoa wa Kagera,...
View ArticleOFFER MAALUM KWA 30% KUTOKA STAR TIMES TANZANIA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
Punguzo maalum la bei katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka, sasa unaweza kufurahia chaneli zaidi y 70 bila dish wala chengachenga, utapata king'amuzi kwa Tsh 79,000 badala ya 109,000.wahi package...
View ArticleKIJIJI CHA BUGORORA MISSENYI NA HARAKATI ZA MAENDELEO
Ndugu Frederick Kamugisha pichani, Mweyekiti wa Tujunangane Saccas Bugorora. Wananchi hawako nyuma katika kushiriki maamuzi,huu nni mkutano wa halmashauri ya kijiji ambao Afisa mtendaji wa kata ya...
View Article