TASWIRA KATIKA PICHA MAAFA YA MVUA KIJIJINI BULEMBO KAMACHUMU
 BUKOBA;Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imesababisha familia zaidi ya 125 kupoteza makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na mashamba kuharibiwa katika Kijiji cha Bulembo kilichopo kata ya...
View ArticleTASWIRA MJINI BUKOBA LEO JUMATANO APRILI 16,2014
 Taswira mbalimbali viunga vya mji wa Bukoba leo Jumatano Aprili 16,2014 Hekaheka za wadau katika utayari wakuyakabili majukumu na changamoto za maisha Vijana Wajasiliamali maarufu kwa jina la ASSECDO...
View ArticleVIDEO YALIOJILI BUNGENI LEO JUMATANO APRILI 16,2014 BUNGE MAALUM LA KATIBA
UKAWA wakitoka Bungeni,Ndani ya video tumsikilize Lissu, Wassira, Membe na Waziri wa Wanzibar. SIKILIZA AUDIO YA MH.LIPUMBA ILIYO PELEKEA WAJUMBE WA UKAWA KUSUSA NA KUTOKA NJE YA BUNGE LEO APRILI...
View ArticleAUDIO YALIOJILI BUNGE MAALUM LA KATIBA APRILI 16,2014
SIKILIZA HAPA CHINI ALICHOKISEMA MH LIPUMBA Â SIKILIZA AUDIO HAPA CHINI TUNDU LISSU AKIFAFANUA KILE ALICHOKIITA VIOJA MCHANGO WA ZITTO KABWE KUHUSU SURA 1 NA 6 YA RASIMU YA KATIBA Ufuatao ni mchango...
View ArticleSHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU DENIS RWEHUMBIZA MBEKENGA ILIYOFANYIKA...
Ibada takatifu katika shughuli ya mazishi ya Marehemu Denis Rwehumbiza Mbekenga, iliyofanyika Nyumbani kwao kijijini Kamishango- Omukigando Wilayani Muleba mkoani Kagera.Marehemu Denis Mbekenga pichani...
View ArticleMUUNGANO WA SERIKALI MBILI NI ENDELEVU KISHERIA NA KISIASA
Ndugu zangu,Tume ya Mabadiliko ya Katiba na Maoni ya WananchiRasimu ya Katiba imeandikwa kwa kuzingatia na kuongozwa na maoni ya wananchi, ambayo yamechambuliwa na kupewa tafsiri kwa makubaliano ya...
View ArticleBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AHAIDI UWEKEZAJI MKUBWA TOKA CHINA KATIKA...
 Balozi Lu Youqing wa Kwanza Kushoto Akiwa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Massawe Katikati na KatibuTawala wa Mkoa wa kagera Bw. Nassor mnambila. Balozi Lu Akiwa na mkarimani Wake Bw.RenMkuu wa Mkoa wa kagera...
View ArticleCRACO-THE MOST BEAUTIFUL ABANDONED TOWN
Craco in Southern Italy is one of the most fabulous abandoned places in the world and is often used as a shoot location for feature films and fashion photography. In the 1960s after various land slides...
View ArticleTUSIACHE ULAZALENDO WA LEMBELI USAKAMWE NA WANAMAKUNDI
Na Prudence KarugendoJAMES  Lembeli ni mbunge wa Kahama kupitia chama tawala, CCM. Lakini uanachama wake kwa chama hicho haumvui uzalendo wake kwa nchi yake wala mapenzi yake  kwa  wananchi wenzake....
View ArticleVIDEO MAZISHI YA MAREHEMU DENIS MBEKENGA KIJIJINI KAMISHANGO-OMUKIGANDO...
CHECK VIDEO HAPA CHINI SEHEMU YA 2 SHUGHULI YA MAZISHI TA MAREHEMU DENISÂ RWEHABURA MBEKENGA KIJIJINI KAMISHANGO-OMUKIGANDO WILAYANI MULEBAÂ Â SEHEMU YAÂ 1.VIDEO IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU DENIS...
View ArticleMH.MASSAWE MGENI RASMI KATKA KONGAMANO LA MAENDELEO 'BUGANGUZI DAY 2014'...
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe.Kanali mstaafu Fabian I. Massawe akiongea na Wananchi wa Kata ya Buganguzi Wilayani Muleba wakati wa Kongamano la maendeleo 'BUGANGUZI DAY 2014' lililoandaliwa na...
View ArticleCHECK OUT VIDEO YALIYOJILI 'BUGANGUZI DAY 2014' MH. MASSAWE ATOA AGIZO KILA...
CHECK VIDEO HAPA CHINI Mkuu wa mkoa Kagera Mhe. Kanali mstaafu Fabian I. Massawewa Kagera akiongea na Wananchi wa Kata ya Buganguzi Wilayani Muleba, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera,...
View ArticleKAMA TUNAUTETEA NA KUULINDA MUUNGANO TUSIUCHOKONOE
Kama tunautetea na kuulinda Muungano tusiuchokonoeNa Prudence KarugendoMNYUKANOÂ unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali...
View ArticleEXTRA BONGO WAPAGAWISHA USIKU WA PASAKA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki akiimba mbele ya mashabiki wake Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiwaongoza wanamuziki wake kushambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika...
View ArticleKAMA TUNAUTETEA NA KUULINDA MUUNGANO TUSIUCHOKONOE
Na Prudence KarugendoMNYUKANOÂ unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali mbili dhidi ya serikali tatu kama...
View ArticleSKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA MWANZA PASAKA KWENYE KIOTA KIPYA CHA JEMBE...
Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.Sam Mapenzi wa...
View Article