Ibada takatifu katika shughuli ya mazishi ya Marehemu Denis Rwehumbiza Mbekenga, iliyofanyika Nyumbani kwao kijijini Kamishango- Omukigando Wilayani Muleba mkoani Kagera.
Marehemu Denis Mbekenga pichani amefariki tarehe 12.4.2014 katika hospital ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam,akiwa na umri wa miaka 48 ilikuwa saa 1.00 jioni siku ya Jumamosi.
Ndikagya Omwiguru (Nitaenda Mbuguni) ni ni wimbo wa dini wa kilugha ambao Marehemu Denis Rwehumbiza Mbekenga aliupenda sana katika maisha yake ya kuishi.
'Ntaenda mbinguni 'tunaomba wadau wasomaji wetu tumsindikize Marehemu Denis Rwehumbiza Mbekenga kwa wimbo huo alio upenda akiwa masomoni na hii ni kutokana na kile tulichokishuhudia jioni ya leo katika shughuli ya mazishi yake
Wakati shughuli ya Ibada ya mazishi ikiendelea, Bukobawadau tunakupatia mistari ya wimbo 'Ndikagya Omwiguru, ndikagya Omwiguru, Ndibona Maria.
1. Ndigya ndimubona, mbone mawe Maria, Omwiguru lya Mungu n'Abatakatifu.
2.Ndigya ndimubona, Nyin' Omukama wange, tuliba ntukurata n'Abatakatifu
3.Ndigya ndimubona, ndiba hao na mawe, byona ebyo ndikwetaga arabimarila
4.Ndigya ndimubona,nyinaichwe omurungi, ndishemelelwa nawe amakiro gona.
5. Ndigya ndimubona, tugendane ichwena, maweichwe natwetaga,tugye kumuleba.
6. Kugya kumubona, amagezi ti gangi, tumwesige wenene aratujunaga,'Ni maneno ya wimbo wa dini katika lugha ya kihaya '
Maneno yaliyomo katika kutafsiri Bibliailiyotafdiriwa katika Lugha ya Kihaya ambayo inatumika hadi leo hii
Taswira mbalimbali katika shughuli ya mazishi haya,Picha zaidi za Matukio ya shughuli hii zinapatika katika ukurasa wetu wa facebook.
Pichani ni watoto wa Marehemu na Mjane wa Marehemu Denis Mbekenga,Bi Rose Denis Mbekenga
Ibada ya mazishi ikiendelea.
Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa Marehemu Denis Mbekenga.
Ndugu wa familia wakishiriki Ibada ya Mazishi
Mzee Emmanuel Mbekenga, Baba Mzazi wa Marehemu Denis akitoa heshima ya mwisho kwa mwanae.
Itican D. Mbekenga, mtoto wa Marehemu akishuhudia mwili wa Baba yake.
Mama Angelina Emmanuel Mbekenga, mama mzazi wa Marehemu Denis Mbekenga.
Bi Rose, mjane wa Marehemu mara baada ya kushuhudia Mwili wa mmewe.
Watu kadhaa walianguka na kupoteza fahamu wakati wakiwa katika zoezi la kushuhudia mwili wa Marehemu Denis Mbekenga, pichani ni mjane Bi Rose Denis Mbekenga.
Leticia Nchwal Mbekenga, Dada wa Marehemu Denis Mbekenga.
Ni huzuni mkubwa kwa ndugu na familia ya Marehemu Denis Mbekenga.
Ilibidi nguvu za ziada zitumike wakati mmoja wa wanafamilia akiubusu mwili wa Marehemu.
Zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu Denis Mbekenga likiendela.
Baadhi ya waombolezaji wakishuhudia Mwili wa Marehemu.
Picha ya Marehemu Denis Mbekenga
Sehemu ya waombolezaji.
Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea.
Jeneza lenye mwili wa Denis Mbekenga likiwa tayari eneo la kaburini
Jeneza likishushwa kaburini
Sisi tu mavumbi,na mavumbini tutarudi.
Padri akiongoza zoezi la kuweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Denis Mbekenga.
Mzee Emmanuel Mbekenga, Baba Mzazi wa Marehemu Denis Mbekenga akiweka shada la maua kaburini.
Mjane wa Marehemu akisogea katika Kaburi la mumewe.
Wakati zoezi la kuweka mashada ya maua kaburiniukiendelea....
Anaonekano Mdau Alex Mtiganzi pichani katikati.
Dada wa Marehemu Denis Mbekenga katika zoezi la kuweka mashada ya maua kaburini.
Waombolezaji wakishiriki katika mazishi.
Shughuli mazishi inaendelea katika eneo la makaburi yaliopo nyumbani kwa mzee Emmanuel , Omukigando-Kamishango kama inavyo onekana pichani mamia ya watu wameweza kuhudhuria maziko haya.
Sehemu ya Wadau walioshiriki katika shughuli ya mazishi haya.
Sisi sote ni waja wa M/MUNGU na sote tutarejea kwake,Bukobawadau Blog tunamuombea kwa Mwenyzi Mungu ampokee na amsamehe marehemu Denis makosa yake
Neno kutoka katika Ofisi , marehemu aliyofanyia kazi.
Utaratibu kutokoa kwa muongozaji wa shughuli hii.
Ndugu Felix Mbekenga akisoma wasifu wa Marehemu Denis Rwehabura Mbekenga ambapo Marehemu aliishi maisha ya ndoa toka mwaka 2000 hadi umauti unamchukua, ameacha mke na watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike.
VIDEO YA SHUGHULI HII ITAPATIKANA HAPA NA KATIKA ACCOUNT YETU YA YOU TUBE