TANZIA: KIFO CHA TA PAULO KILAINI ( BABA YAKE ASKOFU METHOD KILAINI)
Habari tulizozipokea asubuhi ya leo Alhamisi Aprili 3,2o14 na kuthibitishwa na mtu wa karibu ya familia ya Baba Askofu Method Kilaini ya kuwa Baba yake mzazi ,Ta Paulo Kilaini amefariki duniamapema...
View ArticleJAJI WARIOBA AISHANGAA SERIKALI
Dodoma. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.“Wajumbe...
View ArticleNJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA...
Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai...
View ArticleKAGERA SUGAR NGUVU SAWA NA SIMBA 1-1 UWANJA WA KAITABA LEO APRILI 5,2014
Ligi kuu soka Tanzania Bara leo imetimua vumbi katika Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba,mechi ya leo kati ya Kagera Sugar na Simba ambapo Simba imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji Kagera...
View ArticleRULENGE KANAZI NA NYAMIANGA WILAYANI NGARA KUPATA HUDUMA YA UMEME
Mkuu wa wilaya ya Ngara Costantine Kanyasu WANANCHI wa Tarafa za Rulenge Kanazi na Nyamiaga wilayani Ngara Mkoani Kagera wanatarajia kusambaziwa huduma ya nishati ya umeme baada ya Rais Kikwete kutoa...
View ArticleKIZUNGUMKUTI CHA MASHINE YA KUSAGA KIJIJINI BUGOMBE KANYIGO
Mwenyekiti wa kijiji cha Bugombe Ndg Japerson Mutabuzi akiwa na Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ndg Marwa (pichani kulia)wakifanya mawasiliano na wahusika waliofunga mashine kijijini hapa ambayo...
View ArticleMDAU FRANK THEODORY KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU ILIYO ANDALIWA NA RAIS...
Mdau frank theobald theodory (katikati) akiwa na Rais Jakaya Kikwete na mkewe,Mama Salima alipo pata bahati ya kushiriki Hafla ya Chakula cha usiku iliyo andaliwa na Mh Rais Kikwete alipokutana na...
View ArticleWANAOPINGA RASIMU YA KATIBA MPYA WANAMKANA JK
Na Prudence KarugendoMWANZONI kabisa alipoingia madarakani, Rais Jakaya Kikwete, alisema wazi kwamba jambo moja kubwa lililokuwa likisumbua kichwa chake ni kero zilizokuwa zikijitokeza kwenye Muungano...
View ArticleKISHINDO CHA AJALI DARAJANI KASARANI BUKOBA
Hii ni barabara kuu inayoingia na kutoka Bandarini Mjini Bukoba,kwa jina ni barabara ya Uganda ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba. Hivi Ndivyo linavyo onekana Gari likiwa limeacha njia na kupinduka...
View ArticleSERIKALI WILAYANI NGARA KUANZA KUSAKA WANAFUZI WASIOKWEDA SHULE.
NGARA: Na Shaaban Ndyamukama, DATE.:April 4, 2014 SERIKALI wilayani Ngara mkoani Kagera imewataka wakuu wa shule za sekondari wilayani humo kupeleka majina ya wanafunzi ambao hawajaripoti kuanza...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 20 MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akikagua Gwaride Maalum mara baada yakuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kigali nchini Rwanda Rais Museveni amewasili Mjini Kigali kwa ajili ya...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAFANYA UZINDUZI RASMI WA NYIMBO YAO MPYA YA KARIAKOO PAMOJA NA...
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha...
View ArticleUBELGIJI WATEKETEZA TANI 1.5 ZA MENO YA TEMBO
Picha inaonesha meno ya tembo na Mtambo wa kuteketeza meno hayo. Leo hii Serikali ya Ubelgiji imeteketeza meno ya tembo tani 1.5 iliyoyakamata yakiingingizwa Ubelgiji. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr....
View ArticleUMAMUMA KATIKA UONGOZI WA NCHI NI CHANZO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Na Prudence Karugendo MAZINGIRA ni uhai: Neno hilo tulifundishwa shuleni tangu madarasa ya awali. Tulikuwa tunafundishwa kwamba mimea ndiyo hutoa hewa ya Oksijen tunayoivuta pamoja na kuchangia...
View ArticleTASWIRA KAMILI UWANJANI BAYERN 3-1 MAN UNITED (4-2 agg)
Timu ya Manchester Unitedimetolewa nje katika mashindano ya Ligi ya Mabingwabaada ya kushindwakuonyesha cheche dhidi BayernMunich. RooneynaDantewakiruka juu kwa pamoja, hii ni mwanzoni mwa...
View ArticleNGARA YAJIPANGA KUFAULISHA KWA KIWANGO KIKUBWA KATIKA BRN
Mwalimu mkuu shule ya msingi Ntanga Mwl. Sendabaye Justus akikabidhiwa kinyago baada ya shule yake kupata ufaulu wa wastani wa 16% matokeo ya darasa la saba mwaka janaKatibu Tawala wilayani Ngara...
View ArticleNASAHA ZA NYERERE UGHAIBUNI
Katiba mpya, Nyerere anapotumika kuwakwamua majirani wakati sisi tumekwama! Na Prudence Karugendo NAPENDA misemo ya wahenga kwa vile mara zote huonekana imelenga mbali. Wahenga wa Kihaya walisema...
View Article