Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

TASWIRA KAMILI UWANJANI BAYERN 3-1 MAN UNITED (4-2 agg)

$
0
0
Timu ya  Manchester Unitedimetolewa  nje katika mashindano  ya Ligi ya Mabingwabaada ya kushindwakuonyesha cheche dhidi BayernMunich.
 RooneynaDantewakiruka juu kwa pamoja, hii ni mwanzoni mwa mchezo.
Mwibakatikaupande:Mchezaji waArjen Robben pichani (kulia)akizungusha mpira kwa nyuma na kuufuata mbele ya DarrenFletcher ,kinyumbani tunasema kujitangulia.!!
Mara kadhaa ameonekana Mchezaji wa Manchester United DannyWelbeck  akijikwatua visigino yeye mwenyewe, maelekezo haya aijulikani kayapata kwa wapi?na lengo lake ni nini?
Sintofahamu wakati nahodha wa Manchester Unitedanapata kadi ya Njanoa pale alipomchezea vibaya MchezajiMandzukic.
Hekaheka uwanjani.

Mipango kati WayneRooney pichani  (kulia)naPatriceEvrakama wanavyo onekana wakijadiliana

Mabadiliko yaTactical:Kocha wa Buyern Guardiola akitoa maelekezo ya kubadili mfumo kwa wachezaji wake
Yawezekana huu ukawa ndio mwisho wa Kocha David Moyes.




Ikiwa ni dakika ya 62, hii ni Moja ya nafasi muhimu kwaWayne Rooney baada ya kupokea pasi nzuri  kutoka kwa DannyWelbeck,Wahaya wanamsemo wao'atakushutulile ati teneka' maswali ni mengi juu ya Rooney kwani nafasi nyingi hakuweza kuzitendea haki.
Hekaheka uwanjani hakuna aliyejua kuwa Nyota inaweza kumuakia  PatriceEvra
Shangwe za muda  mchache kwa Mchezaji Patric Evra baada ya kutupia bao la kuongoza.
Harakati za David deGeani kuzuia bao la Mandzukiclililopelekea Ubao kusomeka1-1
Anaonekana MarioMandzukic baada yakusawazishabao kwaBayern Munich ikiwa ni sekunde 22 tubaada yaPatriceEvra
Noma ni kwamba bao la manchester Unated limedumu kwa sekunde 22 tu!!Sasa ni 1-1
 ThomasMuller anaipatia  Bayernbao la pili la kuongoza BAYERN 2-1 Man United (Muller 68).
Bao la 2 la Buyern  kupitia kwa ThomasMullerpale alipokitumia vyema kichwa chake na kuwaacha wachezaji wa Man U katika hali hii pichani
 Licha ya kuwepo deflected, wakati mchezaji  Arjen Robben anachukua maamuzu sahii,kwa shuti kali lenye kasi binafsi ninachoweza kusema siku ya leo olikuwa dhahama kwa Manchester United
 Hakuna mchezaji mtata ndani ya 18 kama Arjen Robben,kama mdhaa vile ndani ya 18 ghafla macho yangu yanashuhudia kile nilicho kitalajia kwani haikuwa kazi rahisi  kwa kipa wa Man U,DeGea.BAYERN 3-1 Man United (Robben 76
 Bayernwanaendeleza kasi kupitia kwa Mchezaji Robbenna kumuacha kipa David DeGeaakiwa ameshika kiuno.
 Ubora wa mchezaji ni pale mchango wako unapo onekana katika mechi ngumu na muhimu:Arjen RobbenRobbenakionyeshaa utukufu wake mbeleyamashabiki wa Bayern
 'Pamoja na juhudi zetu zote kiukweli Bayernwamekuwakitu kinginendani ya dakika 20 toka tulipotangulia  kuwafunga kupitia kwaPatrice Evra imekuwa shidaaaaa!!!' Rooney
 Ahhh ni baada ya Carrick kukosa utulivu pale alipopata nafasi ya wazi mnamo dk ya 84 ya mchezo baada ya shuti lake kuonekana fyonga kwa kuelekea  juu kabisa.
Dakika ya 88 ya mchezo!Mchezaji ClaudioPizarroaliwainua mashabiki wa BayernMunich juu,lakini juhudu zake za kupata bao la nne zimezimwa na mlinda mlango DeGea wa Man U
Anaitimisha kazi muamuzi  Katikauangalizi:SwedeJonasEriksson kutoka Sweden.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>