Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SIRAJI ISACK MUGALULA JIONI YA LEO JUMANNE MAY 13,2014

$
0
0
Pichani anaonekana Bi Jamila Isack Mugulala akiwa  katika majonzi ya kuondokewa Mdogo wake mpenzi Marehemu Siraji Isack Mugalula.
Pichani ni Kaka wakubwa wa Marehem Siraji Isack, kushoto ni Mdau Idrisa Isack Mugalula na Amini Isack Mugalula.
 Ndugu Byamungu pichani kushoto katika kumfariji Ndugu Thomas Charles rafiki Mkubwa wa Marehemu Siraji
 Mdau George Lyakurwa na Mdau  Amani pichani.
 Mzee Ziadi Mugaluba,Baba mkubwa wa Marehemu Siraji Isack  Mugalula
Mrs Victor CRDB
 Mdau Mama Stella pichani.
 Katikati anaonekana Mama Rugusha.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Siraji Isack Mugalula likiwekwa sawa tayari kwa kusaliwa na zoezi la kutoa Heshima za Mwisho
Sehemu ya waombolezaji
Pichani anaonekana Ndugu Badru Kichwabuta,Mzee Raphael (Mlangir), Mdau Optay Henry (katibu)na Samola Lyakurwa.
 Mdau Thomas wakati Ibada ya Mazishi ikiendelea.
 Zoezi la kutoa Heshima za Mwisho
 Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa.
 Fr. Mpambo akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Siraji Isack yaliyofanyika jioni ya leo Jumanne May 13,2014  Kijijini Ibura, nje kidogo ya Mji wa Bukoba.
Sehemu ya Waombolezaji .
Mdau Poroje pichani.
 Mdau Bube akiwa kabeba Msalaba.
 SIMANZI, huzuni mkubwa kwa marafiki wa Marehemu Siraji Isack Mugalula
 "Uu mavumbi wewe na mavumbini utarudi"
 Ndugu Amini Isack,Kaka wa Marehemu Siraji Isack Mugalula akiweka udongo kaburini.
 Taswira shughuli ya mazishi ya Maehemu Siraji ikiendelea.
 Anaonekana Bi Maisala Abdulziad Kashinde.
 Dada Jamila Isack akiweka udogo kaburini
Sehemu ya wadau wakiweka udongo kaburini
 Ndugu na marafiki waliohudhuria mazishi ya Marehemu Siraji Isack
Shughuli ya Mazishi ikiendea
Mdau Mgisha rarafiki wa Marehemu Siraji,kutoka Arusha.
 Neno la shukrani kutoka kwa Samuel Lugemalila
 Mdau Amini Isack Kaka mkubwa wa Marehemu Siraji Isack akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia. 
 Kutoka Kushoto ni Mdau Thomas,Samuel, George, Amini na Mr Basibila.
Mwanadada Lorraine Nancy Mollen baada ya kuhudhuria mazishi ya Marehemu Siraj Isack.
 Taswira barabara kuu kuelekea Kemondo,haya ni maeneo ya Kijijini Ibura.
Inaendelea...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>