MCHAKATO WA KATIBA MPYA:Ya Kaizari yanapochanganywa na ya Mungu!
Na Bernard KazindukiMCHAKATO wa Katiba Mpya unaonekana kuingiliwa kwa nguvu na wasiopaswa kuuingilia. Tena wanauingilia kwa mtindo wa kuhatarisha mustakabali wa nchi yetu. Maaskofu 32 wa Kikristo...
View ArticleBOKO H:WAONYESHA WASICHANA WALIOTEKWA
Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita...
View ArticleNCHINI NIGERIA GAVANA WA JIMBO LA BORNO ASEMA ANA 'TAARIFA'WALIPO WASICHANA...
Gavana Kashim Shettima amesema amewasilisha taarifa hizo kwa jeshi kwa uthibitisho kuhusu walipo wanafunzi hao. Bwana Shettima amesema hafikirii kuwa wasichana hao wamepelekwa nje katika mipaka na nchi...
View ArticleSIKILIZA KILIO CHA MCHUNGAJI NA 'KONDOO WAKE'
IMEELEZWA kuwa zaidi ya wanafunzi sabini wa madhehebu mbalimbali ya walokole chini ya mwavuli wa CASFETA katika taasisi moja ya elimu iliyoko kata ya Kanyigo,wilayani hapa hawapati huduma za kiroho...
View ArticleKINACHOFICHWA NA UKAWA NI HIKI HAPA
Na MchakachuajiKama kuna chama cha siasa kisichoeleweka malengo yake hapa nchini basi chama hicho ni CUF. Nashawishika kukifananisha chama hicho na mwanamke ambaye hajatulia, mwanamke ambaye leo...
View ArticleSHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SIRAJI ISACK MUGALULA JIONI YA LEO JUMANNE...
Pichani anaonekana Bi Jamila Isack Mugulala akiwa katika majonzi ya kuondokewa Mdogo wake mpenzi Marehemu Siraji Isack Mugalula.Pichani ni Kaka wakubwa wa Marehem Siraji Isack, kushoto ni Mdau Idrisa...
View ArticleVIDEO SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SIRAJI ISACK MUGALULA MAY 13,2014
Pichani Fr. Mpambo akiongoza Shughuli ya Mazishi ya Marehemu Siraji Isack yaliyofanyika jioni ya leo Jumanne May 13,2014 Kijijini Ibura, nje kidogo ya Mji wa Bukoba.CHECK SEHEMU YA PILI YA VIDEO HAPA...
View ArticleZITTO KABWE;NABII ASIYEKUBALIKA NYUMBANI?
Ezekiel Kamwaga JANA, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu Barani Afrika (AFROPAC) katika mkutano uliofanyika jijini...
View ArticleALIYEJIFUNGUA PACHA WANNE AOMBA MSAADA
MKAZI wa Kijiji Chakijage, Kata ya Rwabwere, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, aliyejifungua watoto wanne pacha, Jodephina Rugambwa (30), ameiomba serikali kumpatia msaada ili kumsaidia kulea watoto...
View ArticleWENYEVITI WA VIJIJI BUKOBA WAPIGWA 'STOP'
WENYEVITI wa vijiji na vitongoji katika Halmashauri ya Bukoba wamezuiwa kugawa au kuuza ardhi kwa wananchi kinyume na sheria. Amri hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba, Kapteni...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MAY 14,2014
Kama kawaida mwanalibeneke wenu katika hapa na pale ,nimekuwa napenda kufika sehemu mbalimbali,iwe kiangazi au masika , Iwe mchana ama Usiku kwa lengo la kukufikihia kila kinachojili Nafika Kiwanja...
View ArticleKILICHOTOKEA MFANYAKAZI SOLANGE KUPAMBANA NA JAY Z
If you came across footage of an explosive fight in an elevator involving some of today’s biggest stars, would you sell it for big bucks and risk losing your job, or would you do what was morally...
View ArticleJAY Z AND BEYONCE LAUGH IT UP COURTSIDE AT THE NETS GAME AFTER SOLANGEGATE
Jay Z may not have been laughing when Solange was trying to lay the hand of God on him in an elevator last week, but it was all sh-ts and giggles last night as Jay and Beyoncé made an appearance at the...
View ArticleMBUNGE AOMBA KURA KATIKA MAAFA MULEBA
Na Ashura Jumapili | Kagera ATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), ametoa mpya kwa kuomba kura za ubunge 2015 kwa wananchi waliopigwa na kimbunga kwenye...
View ArticleJAMII YAASWA KUINUA ELIMU
JAMII imetakiwa kufanya mabadiliko chanya katika elimu kwa kuwekeza na kupeleka watoto shule ili kuongeza uhamasishaji wa ufaulu mzuri kwa wahitimu ambao utasaidia kuchangia maendeleo ya haraka. Kauli...
View ArticleMKUU WA POLISI KANYIGO AFA AJALINI
MKUU wa Kituo cha Polisi cha Kanyigo, Wilaya ya Missenyi, mkoani Kagera, D 6192 SGT Rajabu (47), amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana gari la abiria, maeneo ya Kyakailabwa....
View ArticleVIDEO MPYA KUTOKA KWA 'ODDY PAIS' NI MSANII WA HAPA BK;Oddy Pais ft Be...
Check video hapa chini ni Msanii Oddy Pais ft Be Friends -Natamani
View ArticleVIDEO SOLANGE ATTACKS JAY Z
Solange Attacks Jay-Z! [Cartoon Parody] A video of Solange attacking Jay Z in an elevator after the Met Gala has gone viral.
View ArticleSkylight Band wazidi kutikisa Jiji la Dar kwa Burudani, usikose Ijumaa hii
Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John...
View Article