Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

CHATU LATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA,MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE!

$
0
0
Nyumbani kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema asiuwawe ni mtoto wake wa kwanza..Imetokea Arusha sasa hivi..
Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliuachatu akutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000
Mwenye nyumba anaitwa Magesa.Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.

 Ila wananchi wamemuua huyo chatu.
 MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>