SKYLIGHT BAND WALETA HOMA YA BURUDANI NDANI YA JIJI LA DAR, NJOO UTIBIWE THAI...
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.Sam Mapenzi...
View ArticleDC WA KARAGWE APATA AJALI
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania Daima,...
View ArticleB0TI YAZAMA ,YAUA WATANO
 WAFANYABIASHARA watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria ya Mv. Kitoko2 kuzama kwenye Ziwa Victoria kwa madai ya kuzidisha uzito.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga,...
View ArticleAZIZ & ANIFA'S NIGHT RECEPTION HELD AT KIRAMUU HALL, MBEZI BEACH 31 MAY,2014
Love birds Muendelezo wa Matukio ya picha katika hafla ya kuwapongeza maharusi wetu Mr Aziz Kichwabuta na Bi Anifa Hamidu Bi Harusi, Anifa Hamimu katika picha ya pamoja na Kaka zake wapendwa. Harusi...
View ArticleCCM NA KERO ZA WANANCHI
Miaka 60 CCM ndipo inakumbuka kero za wananchi!Na Prudence KarugendoMTU Â mmoja nisiyeelewa yuko upande gani kiitikadi, kama anafuata itikadi za upinzani au za chama tawala, kanipa wazo la kufikirisha...
View ArticleTANZIA;MAMA MZAZI WA MBUNGE ZITTO KABWE, SHIDA SALUM AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA).Bi Shida Salun,na Mjumbe wa kamati Kuu ya chama cha CHADEMA,aliyekuwa amelazwa chumba cha Wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum...
View ArticleMTOTO WA PELE JELA MIAKA 33
Mwanawe gwiji wa soka Brazil na duniani kote, Pele, Edinho Pele, amefungwa jela miaka 33 kwa kufanya biashara haramu ya pesa au kujipatia pesa chafu zilizotokana na biashara ya ulanguzi wa dawa za...
View ArticleMWIMBAJI CHRIS BROWN ATOKA JELA
Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles. Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi....
View ArticleHISTORIA YA MAISHA YA MREMBO MILLEN MAGESE
HAPPYNES MILLEN MAGESE jina hili sio adimu sana masikioni mwa watanzania walio wengi,huyu ndiye aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2001 na kujizolea umaarufu wake hapa nchini na nje ya Tanzania....
View ArticleNI SHIDAAA WANAFUNZI WAKOSA MASOMO HUKO RUSHENYE BUGORORA!!
Wananchi wakisafiri kwa mitumbwi kutoka kitongoji cha Lushenye kijiji Gaburanga,kata Kassambya kwenda kijiji Bugorora kata Bugorora kufuata huduma. Mmoja wa wazee wa kitongoji cha Lushenye...
View ArticleMHE HASSAN MAMBA BANTU KATIBU WA UCHUMI WA WILAYA MOROGORO MJINI NA MJUMBE WA...
Kutoka kulia  ni Mhe HASSAN Mamba Bantu Katibu wa Uchumi  wa CCM wa Wilaya ya Morogoro Mjini akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Jumuiya ya Ulaya wa Guyana, Tanzania na Afrika ya Kusini. Mhe...
View ArticleCAMERA YETU USO KWA USO NA WADAU
 Uso kwa uso na Mdau Ben Kataruga Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions ni pale Mwanalibeneke wenu alipohitaji kumuona na kufanya naye mazungumzo.Ben Expenditions Tours&...
View ArticleWAPENI WATU TAARIFA WAJIANDAE NA KESHO YAO
Juhudi za uwekezaji nchini zimekuwa zikikumbana na upinzani mkali kutoka kwa wananchi kila mahala kunapokuwako na mradi mkubwa wa uwekezaji, na ni ajabu kwangu na ninaamini kwa wengi wenye kutafakari...
View ArticleRAHMAT ENTERTAINMENT & CHICHI HOTEL WAANDAJI WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2014
Lile shindano lakumtafuta Miss Dar Indian Ocean 2014 linalo andaliwa na Rahmat Entertainment wakishirikiana na Chichi Hotel litafanyika tarehe 7/06/2014 katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Jijini Dar...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI MH. MBOWE AKIWA ZIARANI
 Mmoja wa Wanakamati wa Kamati ya Mfuko wa Maendeleo (CDF) Jimbo la Hai akipanga kuni katika moja ya madarasa ya Shule ya Msingi Shirimatunda iliyoko wilayani Hai, wakati Mwenyekiti wa Kamati hiyo,...
View ArticleYALIOJIRI NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI
Yaliyojiri kwa juma hili Samakisamaki@town,Kiwanja cha kijanjaWapenzi na mashabiki wa LIBENEKE la Bukobawadau BlogMsanii wa Bongo Fleva, David Genzi 'Young Dee'katika pozi na DJ Vasley wa...
View ArticleCHATU LATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA,MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE!
Nyumbani kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema asiuwawe ni mtoto wake wa...
View Article