PICHANI SIO CHUI NI MGONGO WA BINADAMU KAMA MIMI NA WEWE!!
Jamani jamani jamani nimesikitika sanaaa vile binadamu anaweza kuwa katili kwa binadamu mwenzake.Huu mgongo unavyoonekana ni alama za meno,kuchomwa pasi na vipigo.Why jamani?why?kwa nini umuharibie...
View ArticleAMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy (katikati) akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika usiku wa Ijumaa...
View ArticleBALOZI KAMALA ABAINISHA MTAZAMO MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA,...
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihutubia wadau wa ushirikiano kati ya nchi za ACP na...
View ArticleNANI KUTWAA TAJI LA MISS DAR INDIAN OCEAN NYUMBANI LOUNGE LEO JUMAMOSI JUNE...
Sehemu ya Warembo wanatarajia kupanda jukwaani kwa ajili ya kinyang'anyiro cha kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014Sehemu ya Warembo watakao wania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014 usiku wa...
View ArticleCAMERA YETU USO KWA USO NA WADAU
Uso kwa uso na Mdau Ben Kataruga Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions ni pale Mwanalibeneke wenu alipohitaji kumuona na kufanya naye mazungumzo.Ben Expenditions Tours&...
View ArticleTANZIA MZEE SMALL AFARIKI DUNIA!
Muigizaji maarufu hapa nchini Said Ngamba (Mzee Small), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mwanaye aitwaye Mahmoud amesema baba yake...
View ArticleCAMIRA CINDY NDIYE REDD'S MISS DAR INDIAN OCEAN 2014
Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean2014 Camira Cindy ,katika picha na Mshindi wa pili Getrude Massawe (kushoto)na mshindi wa tatu Merry Shilla pichani kulia. Hii ndio Top 5 ya Miss Dar...
View ArticleAJALI MBAYA YATOKEA ASUBUHI YA LEO ENEO LA BUNAZI,WATU WAWILI WANUSULIKA KIFO!!
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 3:00 asubuhi ya leo June 9,2014 katika Kijiji cha Kabwela Kata ya Bunazi ,Wilayani Missenyi,Watu wawili wamenusulika kufa katika ajali hiyo, watu hao ni...
View ArticleZIARA YA PROF.TIBAIJUKA JIMBONI
PROFESA TIBAIJUKA akikagua darasa la elimu ya awali katika shule ya msingi katanda ambalo liko hali mbaya kwa kukaribia kuanguka ambapo ameahidi kujenga darasa jipya la kisasa kwa wananchi kuchangia...
View ArticleMWENYEKITI WABARAZA LA MAIMAMU NCHINI KENYA AUAWA KA RISASI
Mwenyekiti wa baraza la maimam na muhubiri maarufu nchini Kenya Sheikh Mohammed Idris, ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mombasa. Sheikh Mohammed Idris ameuawa karibu na msikiti ulio karibu na nyumbani...
View ArticleBUNGE LETU NA DHARAU ISIYOPIMIKA
SIJAELEWA kwa nini shughuli za Bunge letu zinaendelea kuonyeshwa moja kwa moja “live” kwenye luninga. Kuonyeshwa kwenye luninga ni kulivua Bunge letu ufaragha ambao pengine ungeendelea kuwapa wananchi...
View ArticleHIZI NI TETESI ZA SOKA ULAYA
Arsenal huenda wakamkosa kipa wa Real Madrid, Iker Casillas, baada ya mpenzi wake kudai kuwa hatohama kutoka mji mkuu wa Spain, Madrid (Daily Express),lakini Arsenal huenda wakamsajili mshambuliaji wa...
View ArticleCHECK SHANGWE GROOVEBACK NDANI YA EAST-24 BAR & GRILL THE ARCADE HOUSE
Huwezi kuzungumzia historia ya disco nchini Tanzania na kuacha kuwataja Dj kelvin Twissa na Dj Peter Moe kama wanavyo onekana wakiwajibika (pichani). Hawa ni miongoni mwa DJs wachache ambao, miaka...
View ArticleBREAKING NEWS;PROF.ANNA TIBAIJUKA APATA AJALI,YU SALAMA .
Taarifa zilizoufikia mtandao ni kwamba waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Prof Anna Tibaijuka amepata ajali baada ya gari alilokuwemo kuparamia punda katika mji wa kahama,akiwa njiani kuelea...
View ArticleSAKATA LA MGANGA ALIYEMNYONGA MWANAFUNZI HUKO MULEBA
Ndugu Mujingwa John pichani ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji akiwa na vifaa vinavyodaiwa kutumika katika mauaji na kuchimba kaburi chini ya kitanda. Pichani Waombolezaji wakisimulia matukio ya mauaji...
View ArticleBIRTHDAY PARTY YA MTOTO JOEY RUGEMALIRA
Tarehe 06/06/ ndio ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Mtoto Joey pichani, Mtoto wa Mdau Jerome Rugemalira na Mkewe Imelda RugemaliraSehemu ya watoto wakisherekea katika Birthday ya mwenzao.Ni Sherehe...
View ArticleWAMBURA RUKSA KUGOMBEA URAIS SIMBA
Mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura RASMI Kamati ya rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejeha Mgombea wa Urais wa Simba SC, Michael Richard Wambura kwenye mbio za...
View ArticleHUKO BRAZIL KIPENGA KOMBE LA DUNIA KUPULIZWA KESHO!
IMESALIA SIKU MOJA KABLA YA KOMBE LA DUNIA Kila Kombe la Dunia lina taswira yake ya kipekee. Tarswira hiyo huoneshwa kupitia nembo maalum. Nembo hiyo rasmi ya Kombe la Dunia huwakilisha michuano...
View ArticlePICHA TATA ZA DIAMOND NA WEMA ZATINGA MJENGONI
Staa Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kwenye pozi lenye utata. Stori: Mwandishi Wetu Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni...
View Article