TUNAOMBA LADHI KWA PICHA HII...POLISI AUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA MKOANI PWANI
Marehemu Joseph NgonyaniMnamo 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani, watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kiman nanzi Chana...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA...
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka...
View ArticlePICHA VURUGU ZA WAMACHINGA JIJINI MWANZA
Jeshi la Polisi Jijini Mwanza,leo June 11, 2014,asubuhi. limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga waliokuwa wakipinga kuondolewa katika eneo...
View ArticleBARAZA LA WAFANYAKAZI TEWW
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini...
View ArticleUGUMU WA MAISHA NA YATIMA
MWISHONI mwa mwaka 1983, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alilihutubia Taifa wakati anapokea maandamano ya wakazi wa jiji la Dar es salaam yaliyokuwa mahususi kuunga mkono operesheni...
View ArticleCHECK VIDEO JLO ABADILI MAWAZO, ATASHIRIKI UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA KESHO
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jennifer Lopez amebadili msimammo wa kutohudhuria sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia, na kutangaza kuwa atakuwa sehemu ya sherehe hizo zitakazofanyika...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUKAMUA TENA JUKWAANI JUMAMOSI 14 Juni 2014 katika...
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU ughaibuniwanatarajiwa kutingisha jukwaa tena katika onyesho kubwa la DIETZEN FESTIVAL,litakalofanyika siku ya jumamosi 14 Juni...
View ArticlePATA DAKIKA 90 ZA KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL 3-1 CROATIA
Mashindano ya Kombe la Dunia Brazil 2014,tumeshuhudia GroupA,mechi ya sokakati yaBrazilnaCroatia matokeo Brazil 3-1 Croatia.Mchezaji wa Brazil DavidLuiz(kushoto)katika hekaheka na IvicaOlic wa...
View ArticleHATI ZA VIWANJA MANISPAA BUKOBA
Marafiki wapendwaPamoja na changamoto, Manispaa ya Bukoba imeandaa hati zaidi ya hati 1,000 kwa walioomba na kulipia viwanja katika mradi wa viwanja 5000.Orodha hii inajumuisha:1. Hati ambazo...
View ArticleCHECK VIDEO FIFA World Cup 2014 - Opening Ceremony | Pitbull & Jennifer Lopez...
FIFA World Cup 2014 - Opening Ceremony | Pitbull & Jennifer Lopez | BRAZIL
View ArticleMJINI BUKOBA LEO IJUMAA JUNE 13,2014
Mdau Alex wa Bukoba Mjini akipata Unicon wa Bukobawadau, wakati akipata upepo mwanana wa Ziwa Victoria akiwa katika viwanja vya Gymkhana Bukoba Club. Mdau Grace Rwihula anajikuta katika Camera yetu...
View ArticleMECHI YA KISASI SPAIN 1-5 NETHERLANDS 2014 FIFA World Cup
Pata taswira ya Mechiiliyokuwa na hisia kali kutokana na matokeo ya kombe la dunia lililopita huko Afrika ya Kusini baada ya HispaniakuwashindaUholanzi1-0 miakaminne iliyopita.Mapema kabisa hali...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU MA FATUMA ABDALLAH MAJURA KIJIJINI KASHASHA LEO JUNE 14,2014
Kushoto ni Abdallah Majura ambaye ni Mjukuu wa Marehemu Ma Fatuma, katikati ni MdauMbaraka Majura wakijadili jambo na Sheikh Kakwekwe (kulia) muda mchache kabla ya Mazishi. Mzee Kabyemela pichani...
View ArticleVIDEO MAZISHI YA MAREHEMU MA FATUMA ABDALAH MAJURA
Pata kuona Video 1 na 2 Shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Majura hapa Chini.SEHEMU YA PILI YA VIDEO
View ArticleMARIO BALOTELLI KWENYE HEADLINES TENA ENGLAND 1-2 ITALY FIFA WORLD CUP 2014
Mechi ya soka kundi D kati ya England na Italia ,Nyota imeng'aa kwa mchezaji MarioBalotelli. Taswira uwanjani Wachezaji katika hali ya utulivu kwa ajili yaNyimboya taifakabla yaGroupDmechi ya sokakati...
View ArticleWAZIRI KAMANI AWAASA WANANCHI WA KAGERA KUTUMIA FURSA NZURI ZILIZOPO KUFUGA...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dk. Titus Kamani wa pili kutoka kulia akipata maelezo jinsi ya kuchakata samaki kutoka kwa mchakataji katika kiwanda cha Vicfish Manispaa ya Bukoba Waziri Dk....
View ArticleFAMILIA YA ITEMBWE KATIKA KISOMO CHA SHUGHULI YA HITIMA YA KUMREHEMU MAMA YAO...
Hii ni sehemu ya matukio ya picha katika shughuli ya kisomo cha hitima,iliyo andaliwa na familia ya Itembwe wa Kijijini Nkaka-Kiziba katika kumuombea Mama yao Mpendwa. Sehemu ya Wanafamilia ya...
View ArticleBALOZI KAMALA AMKABIDHI ZAWADI BALOZI KODJO
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) akimkabidhi zawadi Balozi wa Togo Jumuiya ya Ulaya Balozi Kodjo Sagbo kwa niaba ya Kamati...
View ArticleWEMA SEPETU AKANUSHA TAARIFA ZA UJAUZITO
Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito… Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi...
View ArticleMULLER AMUONYESHA RONALDO JINSI MMILIKI WA 'GOLDEN BOOT' ANATAKIWA KUFANYA!!
Wachezaji wa timu ya Ujerumani wakifurahia mechi kwa kile walichokifanya Uwanjani hii leo Germany 4 - 0 Portugal World Cup 2014Jitihada za Thomas Mullerkutafuta bao lake la tatuMaswali mengi ni Jinsi...
View Article