VURUGU MULEBA WANANCHI WAVUNJA JENEZA NA POLISI WAJERUHI MWANAHABARI!
Jeshi la polisi wilayani Muleba mkoani Kagera limemshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi na Radio Kwizera mkoani humo wakati akifanya shughuli zake katika kituo cha afya cha Kaigara...
View ArticleTUACHANE NA UPUUZI WA PICHA ZA MITANDAONI
Na Prudence KarugendoNIMESHANGAZWA na kusikitishwa sana na habari iliyotanda kwa sasa nchini kuhusu picha za kipuuzi zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Picha hizo zimefikia hata kuliteka Bunge...
View ArticleLILE SAKATA LA MAITI MULEBA WANANCHI WAVUNJA JENEZA NA POLISI WAJERUHI...
Jeshi la polisi wilayani Muleba mkoani Kagera limemshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi na Radio Kwizera mkoani humo wakati akifanya shughuli zake katika kituo cha afya cha Kaigara...
View ArticleWAZIRI KIGODA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LA AFRIKA, KARIBIANI NA...
Mhe. Dr. Abdalah Kigoda (wa nne kutoka kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri wa nchi za ACP. Kikao hicho kimeanza leo Nairobi, Kenya.
View ArticleNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA KENYA
Mhe. Janet Mbene Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Kenya Dr. Batilda Burian (wa pili kutoka kushoto) na Balozi wa Tanzania...
View ArticleKIPA 'GUILLERMO OCHOA' AMGOMEA NEYMAR:BRAZIL 0-0 MEXICO
Hii ni sehemu ya mashabiki wa MexicoJinaOribePeralta lilipotajwa ,lilishangiliwa sana na mashabiki wa Mexico kama vile jina la Neymar linavyo chukuliwa na kushangiliwa na umati mkubwa wa...
View ArticleWAKULIMA MULEBA WARUHUSIWA KUSAFIRISHA KAHAWA
WAKULIMA na wanunuzi wa zao la kahawa katika Kata ya Nshamba, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wameruhusiwa kusafirisha zao hilo kwenda sehemu yoyote ndani ya wilaya hiyo, ikiwa ni pamoja na...
View ArticleWANANCHI WACHARUKA MULEBA
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu 30 wakazi wa Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za vurugu na uharibifu wa mali uliotokea wilayani humo, ikiwemo kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika...
View ArticleSERIKALI YAPIGA 'STOP' UVUTAJI WA SHISHA
Uvitaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktariSerikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo...
View ArticleUFALME UGANDA WAMTAKA RAIS MUSEVENI KUOMBA MSAMAHA
Kusimikwa kwa mfalme Oyo Nyimba Kabamba wa Tooro nchini Uganda.Ufalme wa kitamaduni wa Tooro nchini Uganda, umemtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kumuomba msamaha mfalme wao na kuondoa matamshi...
View ArticleTANGAZO NAFASI ZA AJIRA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2013/2014
OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA INAWATANGAZIA WATAALAMU WA KADA MBALIMBALI ZA AFYA KUWA BADO KUNA NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KATIKA SEKRETARIETI...
View ArticleADIOS AMIGOS KWA MABINGWA SPAIN 0-2 CHILE
Mabingwa wa Dunia ,Spain wameyaaga mashindano ya michuano ya kombe la dunia usiku wa leo . Mwisho wamchezo wanaonekana Wachezaji wa Chile Mauricio Isla pichani kushoto na Mlinda mlango Claidio Bravo...
View ArticleFULL TIME CAMEROON 0- 4 CROTIA
Ujuzi kutokaAboubakar...mwenye umri wa miaka 22. BenjaminMoukandjo katika harakati za kutafuta bao yake mwanoni mwa kipindi cha kwanaHekaheka za Stephane Mbia BenjaminMoukandjo wa Cameroon akinasua...
View ArticleKATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) ASHAURIANA...
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP Alhaji Muhammad Mumuni (kulia) akishauariana na Rais wa Baraza la Mawaziri la ACP Mhe. Dr. Abdallah Omari Kigoda (katikati) kabla ya kuanza kikao cha pamoja cha...
View ArticleWAZIRI KIGODA ATIA SAHIHI HATI YA EURO MILIONI 626
Ambassador Dr. Diodorus Buberwa Kamala Tanzania Ambassador to BELUX & Mission to the European Union
View ArticleHILI NDILO KABURI LILILOVUNJA REKODI,MAITI YAWEKEWA KITANDA,TV,VINYWAJI N.K.
Sasa uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana.Kiboko...
View ArticleMWALIMU MKENYA KATIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
Aden Marwa mwenye umri wa miaka 37 ni mmoja wa marefa wanaochezesha michuano ya kombe la dunia nchini Brazil. Ni refa wa kwanza mkenya kuwahi kuchezesha katika dimba la duniaWashiriki katika kombe la...
View ArticleFULL -TIME ENGLAND 1-2 URUGUAY
..Mabao mawili ya Luis Suarez yanawaondoa England MAPEMA katika michuano ya kombe la dunia. Kwa uwezo mkubwa Suarez anatulia na mpira wakati Mchezaji Jagielka akimnyemelea kwa nyumaSterling anajaribu...
View ArticleKUTOKA KWA LADY JAY DEE aka ANACONDA
Lady Jaydee;Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu. Hicho...
View ArticleMSANII CMB PREZZO KUWASINDIKIZA REDDS MISS GEITA JUMAMOSI JUNE 21,2014
MSANII wa muziki wa kizazi kipya 'Prezzo' kutoka nchini Kenya anatarajiwa kuwasindikiza warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha Redd's Miss GEITA 2014.Ticket za Miss geita zinapatikana Lenny hotel,...
View Article