BASHASHA MBELE YA CAMERA YETU
Camera yetu inakutana na Mdau Robart ( Mboma ) Mtore,yeye ni mpenzi na mfatiliaji wa mtandao wa Bukobawadau. Vijana pichani wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Wazaliwa wa huko Wilayani Karagwe ni Aziz...
View ArticleMWALIMU MKENYA KATIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
Aden Marwa mwenye umri wa miaka 37 ni mmoja wa marefa wanaochezesha michuano ya kombe la dunia nchini Brazil. Ni refa wa kwanza mkenya kuwahi kuchezesha katika dimba la duniaWashiriki katika kombe la...
View ArticleBREAKING NEWS:Mahakama yawavua nyadhifa madiwani sita Bukoba
Hizi ni taarifa za hivi punde.Ni kutokana na sakata linaloendelea bukoba kuhusiana na mgogoro katika manispaa hiyo.Madiwani hao kutoka vyama tofauti walifunguliwa kesi mahakamani na Diwani wa Kata ya...
View ArticleBWANA HLAUDI ACHUNGUZWA KWA KUPEWA MKE KAMA ZAWADI
Uchunguzi umeanzishwa nchini Afrika Kusini kuhusu madai kuwa mkuu wa shirika la habari la SABC alikabidhiwa msichana mwenye umri wa miaka 23 kama zawadi.Tume inayohusika na maswala ya usawa wa...
View ArticleMAREKANI YAIWEKEA UGANDA VIKWAZO KUHUSIANA NA SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Sekta ya Afya na usalama wa taifa itaathirika na vikwazo hivyo.Marekani imeiwekea Uganda vikwazo kwa kupitisha sheria zinazopinga mapenzi ya jinsi moja katika taifa hilo la Mashariki ya Afrika.Afisa...
View ArticleKUBOMOKA KWA DARAJA LA TABATA KINYEREZI
Lori lililokuwa limebeba kontena limejaribu kupita daraja linalounganisha UKONGA {BANANA)- SEGEREA- KINYEREZI NA MBEZI limeharibika kabisa kwa kutumbukia na lori , kwa sasa foleni ni kubwa magari yote...
View ArticleITALY 0-1 COSTA RICA;Hii inamaanisha England ni timu ya Nne kuyaaga...
Costa Rica wakisherekea ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Italia ambao unawapeleka hatua ya 16 bora. Costa Rica wakipongezana kupatanafasi ya kuingia hatua ya mtoanokuwa mchakato Fulham flop Bryan Ruiz...
View ArticleWATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA...
Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo...
View ArticleGERMANY 2-2 GHANA:Ni Asamoah Gyan Kabla ya Klose kusawazisha!!
Miroslav Klose akitokea benchi anaipatia Ujerumani bao lakusawazisha , ni mpira wa kwanza kuugusa baada ya kuingia tu uwanjani ,Germany 2-2 Ghana.Bao la Klose linamuweka kwenye historia ya kuweza...
View ArticleMDAU ABDULRASUL BWANIKA ANUSURIKA KATIKA AJALI ENEO LA RUHANGA KAMACHUMU
Mdau Abdulrasul Bwanika pichani kapata ajali mbaya ya gari iliyotokea mchana wa leo June 22, 2014 eneo la Ruhanga,barabara kuu iendayo Kamachumu kilometa chache kutoka Kijiji cha Muhutwe Wilayani...
View ArticleSOUTH KOREA 2-4 ALGERIA;Ni KOO Nahodha wa Korea ya Kusini analeta Changamoto...
Kwa mahesabu makubwa anaonekana Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani akinyanyua mpira juu na kutupia bao la kwanza.GOAL! South Korea 0-1 ALGERIA (Slimani 26) Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani...
View ArticleHARUSI YA MDAU NAJIM JAAFAR BWANIKA
Ni matukio ya Harusi ya Bwana Najim Jaafar Bwanika, iliyofanyika Mchana wa leo Jumapili June 22,2014 Nyumbani kwao Kijijini Kamachumu.Muonekano wa Bibi Harusi katika picha. Bibi harusi nampambe...
View ArticleMARADONA AWABWATUKIA FIFA KWA KUIKOSEA HESHIMA COSTA RICA.
Nguli wa soka duniani na mkali wa enzi hizo wa Argentina, Diego Armando Maradona, amewafananisha viongozi wa FIFA na genge fulani la wahuni lisilo na nidhamu wala heshima, kufuatia hatua ya shirikisho...
View ArticleWANAWAKE,VIJANA WILAYANI MULEBA WATANGEWA MIL.69/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagara, imetenga zaidi ya sh milioni 69 kwa kipindi cha mwaka 2010/2014 kwa ajili ya mikopo kwa vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya kinamama na vijana, ili...
View ArticleENGLAND WANAREJEA KWAO NA POINT MOJA;England 0-0 Costa Rica World Cup 2014
Kiungo na nahodha wa England Steven Gerrard pichani (katikati) akipasha na wenzake.Mtazamo tofauti kwa mmoja wa mashabiki wa UingerezaInaonekana Kivutio pale mashabiki wa Brazil wanapo ingia Uwanjani...
View ArticleREDD'S MISS KAGERA 2014 KUFANYIKA AUG 2,2014 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB
KAMATI YA MAANDALIZI YA MISS KAGERA 2O14 INAWAJULISHA KUWA TAREHE 2-8-2014 NI SHINDANO LA KUMTAFUTA REDD'S MISS KAGERA 2014 KATIKA UKUMBI WA LINA'S KUANZIA SAA 2.00 USIKU.WAREMBO KUTOKA WILAYA ZOTE ZA...
View ArticleSAMARAS ANAWAVUSHA GREECE;GREECE 2-1 IVORY COAST
Penati ya dakika za nyongeza inawatoa wapambanaji Ivory Coast,Kikosi imara kikiongozwa na Barry, Boka, K Toure, Kalou, Tiote, Gervinho, Drogba, Aurier, Y Toure, Serey, Bamba Shangwe za shabiki wa...
View ArticleR.I.P MZEE MTORE WA KIJIJINI BUGANGUZI
Bukobawadau Blog tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mzee wetu , rafiki wetu mpendwa Marehemu Mzee Mtore , kilichotokea Jana June 24,2014 Katika Hospital ya Rubya.Mipango ya mazishi inaendelea...
View ArticleULEVI NA UVUTAJI NDIYO MIHIMILI YA UCHUMI WETU?
Na Prudence KarugendoNIMEJIWA na wazo kwamba neno la tahadhari kwenye sigara na matangazo ya bidhaa hiyo lisemalo “ uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako” ni la kuondoa kabisa. Sababu kwa maana...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika kutekeleza kazi ya mbunge ya kuisimamia Serikali itakumbukwa kwamba tarehe 12 Mei 2014 nilichukua hatua bungeni ya kutaka Serikali kutatua kwa dharura matatizo katika mtambo wa maji wa Ruvu Juu...
View Article