Kushoto ni Abdallah Majura ambaye ni Mjukuu wa Marehemu Ma Fatuma, katikati ni MdauMbaraka Majura wakijadili jambo na Sheikh Kakwekwe (kulia) muda mchache kabla ya Mazishi.
Mzee Kabyemela pichani
Mlangira Emmanuel wa Bukoba Club akiwasili msibani hapo
Sehemu ya Wadau waliofika Kuwafariji Wafiwa.
Ndugu na jamaa waliofika kuwafariji wafiwa .
Wadau pichani yupo Mzee Nyangasha Sadru na Mh. Kaka yetu, Mwalimu MjuniJoseph Katalaiya
Ni shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Abdallah Majura iliyofanyika jioni ya leo Jumamosi June 14,2014 Kijijini Kashasha Kata ya Kanyigo Wilayani Missenye
Ibada ya kuhuswalia mwili wa Marehemu Ma Fatuma iliongoza na Sheikh Mustapha.
Dua'a Ya Kumuombea Marehemu wakati wakuswakiwa (156) ... Ewe Mwenyezi Mungu usitunyime thawabu zake wala usitupoteze baada yake”.
Shughuli ya Maziko ikiendelea
Sheikh Haruna Kichwabuta akiweka udongo Kaburini
Anaonekana Haji Kazinja pichani.
Balozi Ngemera akiweka udongo kaburini
Video juu ya kilichojiri msibana hapa, historia ya Marehemu na Maneno ya Sheikh inapatikana juu ya habari hii ukurasa wa mwanza .
Sehemu ya wanawake pembeni kabisa msibani hapa wakati mazishi yakiendelea..
Taswira shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Abdallah Majura ikiendelea
Mama Farida Katika hali ya Usikivu wakati Historia ya Marehemu ikitolewa.
Mbaraka Majura ambaye ni Mtoto wa Marehemu Ma Fatuma.
Pata kuona Video 1 na 2 Shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Majura hapa Chini.
SEHEMU YA PILI YA VIDEO