Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MARIO BALOTELLI KWENYE HEADLINES TENA ENGLAND 1-2 ITALY FIFA WORLD CUP 2014

$
0
0
Mechi ya soka kundi D kati ya England na Italia ,Nyota imeng'aa kwa mchezaji MarioBalotelli
Taswira uwanjani Wachezaji  katika hali ya utulivu kwa ajili yaNyimboya taifakabla yaGroupDmechi ya sokakati yaEnglandnaItalia katika Uwanja wa AmazoniaManaus
 Mshike mshike kati ya bekiwa ItaliaGiorgioChiellini(kulia) na Mchezaji wa EnglandGlenJohnson
 Ilikuwa mapema mwanzoni mwa mchezo baada ya shuti kali la Mchezaji  RaheemSterling kuelekea nje na kupelekea mashabiki wengi kushangilia wakidhani ni bao.
 Andrea Pirloakijaribu kufanya yake mbele ya  Mchezaji waEngland, JordanHenderson.
 Katikati yamashabiki wa Italy anaonekana Mwanadada FannyNeguesha ambaye nimchumbawamchezaji wa ItaliaMario Balotelli.
 Wayne Rooney(kushoto)chini ya udhibiti mkubwa kutoka wa beki wa ItalyMatteoDarmian.
Mlinda mlango wa Italy AndreaBarzaglianafanya kuutoa njiani mpira uliopigwa na Mchezaji wa England DannyWelbeck na pichani (kushoto) ni DanielSturridge wa England akiwa juu kwa kutegemea  Kipa apoteze malengo yake.
ClaudioMarchisioakiachia nduki kali iliyopelekea shangwe upande wa Italy.
 DanielSturridgealichukuadakika mbili tukusawazishakwaEngland.
 DanielSturridgepichani (kulia) katika harakati za kusawazisha
 DanielSturridge akishangilia bao lake kwa timu ya England.
 Tukio la ajabu na  GaryLewin kutoka benchi la ufundi la timu ya England akibebwakwenye machela.
Mpaka  mapumziko England 1-1 Italy
 Ni  PhilJagielkaanaokoa mpira uliokuwa ukielekea nyavuni na hii kuwa salama ya England
Vile alivyo shangilia mchezaji MarioBalotelli baada ya kufunga bao la pili la ushindi wa Italy
MarioBalotelli akitupia bao la pilikwa njia ya kichwa.
 Akiangalia mbele kuona wapi pakupita ni RaheemSterlingwaUingereza pichani (katikati)
 Njia imefungwa anaonekanaWayneRooney akiwania mpira na GiorgioChielliniya Italia
Hakuna penati  iliyotolewa pale Steven Gerrardalipo banwa juu kwa juu na mchezajiGabrielPalettawa Italia.

 
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>