Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

KATIKA KUELEKEA MSIMU HUU WA X-MASS NA MWAKA MPYA ,HABARI KUBWA NI NDANI EVODY BOUTIQUE BUKOBA.!

$
0
0
 Sasa ni mwendo wa kutakata katika kuelekea msimu huu wa siku kuu ya X- mass na mwaka mpya, duka la Evody Boutique linakupatia punguzo la bei ili ujipatie mitoko ya uwakika.
 Hapa naweza kusema kama wewe mdau unajuwa na unaelewa maana ya kuvaa ni nini na kujistili ni nini....?!!
 Sehemu ya mavazi ya heshima,mavazi ya kinizamu maarufu kama Nguo za kanisani kwa kuzingatia umri mbalimbali hapa ndio mahala pake
 Hii ni kwa wale wapenzi na wavaaji wa,skin jeans,top dress na skirts.
 Habari kamili iko namna hii ndani ya Evody Boutique Bukoba
 Upande wa wanaume wamedhibiti vyema kwa kulete viatu aina mbalimbali kwa kuzingatia ubora.
Mdau msomaji unakaribisha sana ndani ya Evody Boutique! 
 Mtonyo mzima huko hivi.
  Ni kuanzia sasa mpaka katikati ya mwezi wa pili kuna punguzo maalumu kwa viatu vya kike,viatu vya kiume,mikoba ya kinamama,top za madoo,na mikato yote ya ma brother men.
 Mama,Dada,Mjomba na Shangazi sehemu sahihi yenye ubora katika msimu huu wa Sikukuu ni Evody Boutique
 Tuyaache macho yafanye kazi yake kupitia bukobawadau blog.
Mkurugenzi Kijana Evody(dogo ditto)katika harakati ndani ya Ofisi yake maarufu kama Evody Botique
 Mambo yetu yale ya kubanabana  kwa kuzingatia rangi zote na saze mbalimbali
Hapa unaweza kufanya yako kila kitu kikaeleweka ,Swala la kukupendeza wewe na Mwenzio inategemea unanunua wapi hivyo vifaa
Kikubwa ni wewe kuwahi size yako kuna kila aina ya nguo,tops,blouses,skirts,jeans, max dresses, knee shorts, na linen shorts
 Dogo J muuzaji ndani ya Evody Boutique iliyopo mkabala kabisa na Muleba nyumba ya wageni
Hakika JAMAA ni wakali na wamejipanga nyanja zote hususani katika mikato ya kizazi kipya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>