OFISI YA CHADEMA MKOA WA ARUSHA YACHOMWA MOTO
Ofisi ya Chadema Mkoa wa Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. Jitihada za kudhibiti moto huo zimefanikiwa na taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa, uchunguzi unaendelea kubaini...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTEUA DR.MIGIRO KUWA MBUNGE
Rais Jakaya Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka amesema uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.Source: Ikulu
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI MJINI BUKOBA LEO JUMANNE DEC 3,2013
Shule ya msingi Rumuli ,kwa nyuma yanaonekana mabwawa ya samaki wa kufugwa.Taswira mjini Bukoba muonekano wa Msikiti wa Bilele na maeneo mbalimbali.Kanisa kuu Jimbo katoliki la Bukoba Mandhari safi...
View ArticleFAMILIA YA HAJI ABBAKARI GALIATANO IMEPOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA ZA KIFO...
FAMILIA YA HAJI ABBAKARI GALIATANO INASIKITIKA KUPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA NDUGU HATIFU GALIATANO KILICHOTOKEA USIKU WA TAREHE 3 DEC,2013 JIJINI DAR ES SALAAMInna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
View ArticleTafsiri ya usaliti ya Zitto na umaarufu wa Kibuzwagi
Na Prudence KarugendoWIKI mbili zilizopita niliandika nikiishauri Chadema ifanye mambo yake kichama na sio kimitandao. Nikaonyesha tofauti kati ya chama cha siasa na kikundi cha wanaharakati.Sasa...
View ArticleLEO TENA KUTOKA KURASA ZA WADAU MBALIMBALI 4 DEC,2013
Willy Kirouera Rutta: Nisaidieni jamani kwa kutoa maoni yako- Hivi kwanini vijana wengi ambao ni wahaya HAWAPENDI KUJITATAMBULISHA KUWA NI WAHAYA, wanapenda kuona fahari ya kujitambulisha kuwa mi sio...
View ArticleMTIKILA:KUNA CHADEMA MBILI - 'CHADEMA CHUMBANI' NA 'CHADEMA SEBULENI'
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI,...
View ArticleKATIKA KUELEKEA MSIMU HUU WA X-MASS NA MWAKA MPYA ,HABARI KUBWA NI NDANI...
Sasa ni mwendo wa kutakata katika kuelekea msimu huu wa siku kuu ya X- mass na mwaka mpya, duka la Evody Boutique linakupatia punguzo la bei ili ujipatie mitoko ya uwakika. Hapa naweza kusema kama...
View ArticleMAJIBU YA TUNDU LISSU KWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA ALIEJIUZULU...
Kwenye barua ya kujizuru mwenyekiti wa Singida amemtaja Tundu Lissu kuwa sehemu ya wavamizi wanao iua CHADEMA haya ndio majibu ya TUNDU LISSU:- Kwa vile aliyejiuzulu ni Mwenyekiti wangu wa Mkoa, na kwa...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA NDUGU WANAHABARI, MNAMO TAREHE 03/12/2013 MUDA WA SAA 5:00 ASUBUHI, POLISI MKOANI HAPA TULIPOKEA TAARIFA JUU YA KUCHOMWA MOTO KWA JENGO AMBALO LINA...
View ArticleKINANA AICHANACHANA CHADEMA MBEYA, AMALIZA ZIARA KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda bajaji tayari kwa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Luanda Nzovwe Mwanjelwa jijini Mbeya akitokea ofisi za CCM mkoa...
View ArticleSHUGHULI YA SEND OFF PARTY YA BI KIDEE MTALAJIWA WA MDAU JOHN GONZA
Matukio ya Send off Party ya Bi Kidee, mtoto wa kitanga anaye talajia kufunga ndoa siku ya Jumamosi mwishoni mwa juma hili na Mdau John Gonza mwana wa Kibeta Bukoba pichani Koshoto.Hivi ndivyo wawili...
View ArticleHABARI KUBWA MAGAZETI LEO ALHAMISI 5 DEC, 2013
JIUNGE NA UKURASA WETU MPYA WA FACEBOOK KUPITIA HAPA https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
View ArticleTASWIRA MAPOKEZI /MAZISHI YA MAREHEMU HATIFU GALIATANO YALIYOFANYIKA LEO 6...
Ni Majira ya saa saba mchana wa Dec 5,2013 ndege ya shirika la Precission Air ikiwasili uwanja wa ndege Mjini Bukoba.Ndege hiyo ikiwa na abiria mbalimbali pamoja na dada ndugu wa marehemu Hatifu...
View ArticleHII NI KATIKA KUMPA SHAVU MSANII WA HOME DOSO ASHRAF LUGUSHA .
KAMA UPO NA MZUKA NA NGOMA YAKE MPYA IJULIKANAYO KAMA 'BE HAPPY' UNAWEZA KUMCHECK WHATSAAP KWA NAMBA ZAKE HAPO CHINI . KWA MAFANS WOTE WA KENYA, UGANDA, TZ, MALAYSIA, INDIA, CHINA, UK, USA... Mcheck...
View ArticleHUKO KIGOMA DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA
Hali ilikuwa hivi na kupelea Dr.slaa kukutana na wakati Mgumu akiwa KigomaKutoka Kigoma wafuasi wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.
View ArticleMR.HASSAN(HANS) MUNJURI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI
Ndg Hassan Munjari maarufu kwa jina la Hans ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana,tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa Jumamosi Dec 7,2013 maeneo ya Yaasila mjini bukoba.Jeshi la...
View ArticleANGELA KAIRUKI ATAJWA KUWA MIONGONI MWA WANAWAKE VIJANA 20 WENYE NGUVU...
Mhe. KairukiNaibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angela Jasmine Kairuki (37) ametajwa katika jarida la kimataifa la Forbes kuwa ni mmoja wanawake vijana 20 wenye nguvu barani Afrika mwaka huu....
View Article