$ 0 0 Rais Jakaya Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka amesema uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.Source: Ikulu