$ 0 0 Ofisi ya Chadema Mkoa wa Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. Jitihada za kudhibiti moto huo zimefanikiwa na taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa, uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha moto huo.Muonekano wa sehemu walipo ingilia.