PICHA YETU YA LEO IJUMAA NOV 29,2013
UnaambiwaUkitaka kumuoa Binti wa KIHAYA ujipange Brother ona Mshenga anavotaabika apo chini.
View ArticleJIJINI MWANZA RAIS KIKWETE ALIPOKEA KOMBE LA DUNIA LEO nov 29,2013
Rais Jakaya Kikwete amepokea rasmi Kombe la Dunia katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza mapema jioni hii. Aiita ziara ya Kombe mkoani humo “jambo la kihistoria.” Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleCHADEMA IKO IMARA-LWAKATARE
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.Kiongozi huyo anayeongoza Idara...
View ArticleHUYU NDIYE KIJANA ALIYE UKATA UUME WAKE KUEPUKA USUMBUFU WA WANAWAKE
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na...
View ArticleWADAU USO KWA USO NA CAMERA YETU MTAANI LEO JUMAMOSI NOV 30,2013
Mitaa ya Migeyo, dukani kwa Bi Sharifa tunakutana na mdogo mtu kijana Mkusini pichani akicheck na jicho la camera yetu. Vijana pichani ni Ash K Bin Amar mtoto wa Mzee Hamasha kashai halisi akitabasamu...
View ArticleINTER COLLEGE BASH-2013 NDANI YA WALKGUARD HOTEL MSANII CYRILL APAGAWISHA!!
Jumamosi hii nov 30,2013Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na show ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote Mjini Bukoba ikijulikana kama Inter-College Bush,Wanafunzi kutoka vyuo vya SAUT BUKOBA CENTER na JOCUCO...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA LINDI AJIUZULI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NDUGU ALLY O. CHITANDA NDG: WANA HABARI: Kwanza kabisa ninawashukuru kwa kuitika wito wangu. Jina langu naitwa ALLY OMARY CHITANDA, nimejiunga CHADEMA mwaka 2003...
View ArticleCHECK VIDEO SHOW YA INTER COLLEGE BASH-2013 BUKOBA NDANI YA WALKGUARD HOTEL
CHECK VIDEO HAPO CHINI MSANII CYRILL ALIVYO KISANUA ILE MBAYAAA!!
View ArticleCHECK VIDEO WANAFUNZI WA SAUT WALIVYOSHAMBULIA JUKWAA
Check Video hapo chini usiku wa Inter College Bash-2013 Bukoba
View ArticleMAMA ANNA TIBAIJUKA ATAKA SOKO LA NDIZI MULEBA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amewataka madiwani wa Halmashari ya Muleba, mkoani Kagera, kujenga soko la ndizi la kisasa kwa ajili ya mahitaji ya wananchi na...
View ArticleMATUKIO YA BUKOBA VETERAN KATIKA BONANZA LA KUFUNGA MWAKA CHINI YA UDHAMINI...
Lile Bonanza la kufunga mwaka 2013 la Bukoba Veteran wakidhamini na Tbl lililofanya siku ya jana Jumapili Nov 1,2013 nakufana ile mbaya, bonanza lilianzia uwanja wa Kaitaba kwa mechi tatu tofauti na...
View ArticleCHECK PICHA 47 BORA ZA MWAKA 2013 KUTOKA REUTERS ANGALIZO BAADHI YA PICHA...
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2013, shirika la habari la kimataifa Reuters limetoa picha bora za mwaka huu,‘The most astonishing pictures of 2013’, zikiwemo za baadhi ya matukio makubwa ya mwaka...
View ArticlePICHA YETU YA LEO JUMANNE DEC 3,2013 SENENEBURGE
SENENEBURGE;Kutoka kwa "self-proclaimed bluetooth-wife" wa Mhaaya, Pasy via Mubelwa Bandio.
View ArticleMDAU BYABATO ANAHOJI;Wana Kagera wa Dar misaada yenu inawafikia walengwa?
Sipendi kubeza jitahada za wadau hasa wanaoishi katika jiji la shida na raha la Dar salaam kuendesha harambee na harakati za kuchangia sekta kadha katika mikoa ya walikozaliwa.Matukio ya aina hii ni...
View Article