MADIWANI MULEBA WAMUWEKA KITIMOTO MAMA ANNA TIBAIJUKA
Na Ashura JumapiliMADIWANI wa Halmashauri ya Muleba, mkoani Kagera, wamhoji mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, kuhusu kuziacha fedha za jimbo sh milioni 52 katika akaunti bila kuzitoa...
View ArticleDC MULEBA ATAKA MAABARA SHULE ZOTE ZA KATA
Mkuu wa Wilaya (DC) ya Muleba, Lembris KipuyoUJENZI wa vyumba vya madarasa katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Muleba, mkoani Kagera hauwezi kukamilika iwapo shule hizo hazitakuwa na maabara za...
View ArticleMTOTO ARUDISHA PENZI LA MONA, TYSON
Stori: Imelda MtemaNDOA ya mastaa wa filamu Bongo, George Tyson na Yvonney Chery ‘Monalisa’ iliyovunjika kitambo, ilirejewa na uhai wa saa kadhaa katika shughuli ya kumpongeza binti yao mpendwa Sonia...
View ArticleSIKU ZA ZITTO CHADEMA ZINAHESABIKA...
Ndugu zangu,Kwa kuyachambua magazeti ya leo, na kwa kusoma katikati ya mistari, ni dhahiri, kuwa siku za Zitto Kabwe Chadema kama mwanachama nazo zinahesabika.Tundu Lissu anaripotiwa na Mwananchi...
View ArticleNOTHING BUT THE TRUTH.......
Sababu zinazoweza kukufanya WEWE kama Mwanamke/msichana ukose mchumba ....1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huenda kanisani wala msikitini upo tu nyumbani. Mvulana serious akikuangalia ataona ni mtu...
View ArticleCHECK MAGOLI 2 YA KIPINDI CHA KWANZA HT;Bayer Leverkusen 0-2 Manchester United
UEFA Champions League Full-time scores: Full-time scores: Real Madrid C.F. 4-1 Galatasaray Bayer 04 Leverkusen Fussball 0-5 Manchester United Juventus 3-1 F.C. København Manchester City FC - Official...
View ArticleMULEBA YASHAURIWA KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA KWA WANANCHI
HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera imeshauriwa kusogeza huduma za afya kwa wananchi kwa kutekeleza mpango wa serikali wa kujenga zahanati kila kijiji sambamba na kuwa na mpango mkakati...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA LEO ALHAMIS NOV 28,2013
Oxygen Bar& Lounge iliyopo kati ya makutano ya barabara ya jamhuri na Kashozi, ndio habari ya mjini. Oxygen Bar& Lounge mkabala na Bank ya CRDB tawi la Bukoba.Jaffery Shule ya Sekondari...
View ArticleMAJANGA UGONJWA WA MNYAUKO WA MIGOMBA WAITESA KAGERA
TUNAPOONGELEA mikoa ambayo imekumbana na majanga mengi hapa nchini Tanzania ambayo yameleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi hatupaswi kuusahau mkoa wa Kagera.Mkoa wa Kagera ambao umepakana na...
View ArticleWelcome to the Windhoek Lager Nyama Choma Kapana
Welcome to the Windhoek Lager Nyama Choma Kapana @ Shikamoo Pesa Pub this Saturday from 12 noon. We got 3 hot DJ's, promotion with very very cold beers and even BBQ your own meat... Windhoek Lager #...
View ArticleRUKUNYU KANYIGO NA CAMERA YETU
Moja ya jukumu kubwa tulilo nalo katika kuendeleza libeneke la Bukobawadau Blog ni kufanya jitihada za makusudi zinazo tuwezesha kuwa karibu na wadau wetu, hususani katika maisha ya kila siku ya hapa...
View ArticleMAISHA YA WATU HATARINI
Hili ni ghorofa linaloendelea kujengwa ktk kitongoji cha Bukoko,kata ya Kanyigo,wilaya ya Missenyi,ambalo kwa mujibu wa mhandisi majengo wilaya ya Missenyi Bw Kilawila Mboya, limejengwa chini ya...
View ArticleDR.JOSE CHAMELEONE BADILISHA CONCERT IN MWANZA
Msanii kutoka nchini Uganda Jose Chameleone kui 'badilisha' Mwanza siku ya mkesha ya XmassNi Msanii mkubwa wa Africa Jose Chameleone atafanya show hiyo ndani ya uwanja wa CCM Kilumba jijini Mwanza,...
View ArticleWATEJA WA SKYLIGHT BAND WABURUDISHWA NA MOKAI CULT BIA MPYA TOKA SWEDEN
Wateja wa Skylight Band wiki iliyopita walipata nafasi ya kuburudika na kinywaji kipya kabisa toka nchini Sweden MOKAI Cult ambacho kina Alcohol 4.5 yenye ladha murua kama aina ya Savanna ambacho ni...
View Article