MAJAMBAZI YAENDELEZA OPERATION HUKO BIHARAMULO NI BAAADA YA OPERESHENI...
Hali imekuwa tete kwa siku ya jana kuanzia majira ya saa 2 Asubuhi na saa kumi na moja jioni katika kata ya Lusahunga Nyakahura mpaka meneo ya Murusagamba Wilaya ya Biharamulo.Watu wapatao kumi 10...
View ArticleWILAYANI NGARA TAKUKURU YAWATAKA WANANCHI KUJENGA TABIA YA KUTOA TAARIFA ILI...
Wadau wakijadili kuhusu utendaji kazi wa TAKUKURU katika uchunguzi na udhibiti wa rushwa katika miradi ya maendeleo kupitia Radio Kwizera Ngara,Hayo yamejiri wakati wa mjadala wqa asubuhi njema...
View ArticleMANENO YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA ZITTO NA DR KITILA KUVULIO VYEO; "NDANI YA...
Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala...
View ArticleSOKO LA SENENE LEO NOV 23,2013 MJINI BUKOBA
Pamoja na wingi wa senene kwa siku ya leo, bado swala zima la uchumi kwa wadau ni tatizo lililopelekea senene hao kudoda.Senene ni kitoweo asa mkoani Kagera,Zipo aina nyingi za wadudu ambao katika...
View ArticleKutimuliwa kwa Chiza ni Nape na ukomavu wa kisiasa
Na Prudence KarugendoKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye, bado ni kijana kiumri, ila katika siasa anaanza kuonesha ukomavu uliouzidi wa wengi waliomtangulia...
View ArticleMkutano na waandishi wa habari: Mhe Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo
Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na...
View ArticleTAARIFA KWA WATANZANIA JUU YA UAMUZI WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
Ndugu Wananchi, wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokutana Ubungo Plaza, Dar es Salaam kuanzia asubuhi ya siku ya Jumatano ya tarehe...
View ArticlePRESS CONFERENCE VIDEOS: SITOKI CHADEMA-ZITTO
TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA NITASIMAMA DAIMA MBELE YA DEMOKRASIA NINAPOZUSHIWA NAUMIA MIMI NI BINADAMU USAMBAZAJI WA RIPOTI YA...
View ArticleHIVI NDIVYO NDIZI ZILIVYOADIMIKA SOKONI BUKOBA!!
Hali ya soko la ndizi mjini Bukoba kwa siku mbili za jumamosi na jumapili nov 24,2013 Taswira eneo zima maarufu kwa kuuza ndizi. Mikungu ya banana iliyopo sokoni Ndizi chache zilizosalia sokono Lango...
View ArticleTAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA...
1. Utangulizii. Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya...
View ArticleNGUGI WA THIONG'O NA MATEKA WA LUGHA
Ni saa nne kamili asubuhi siku ya ijumaa tarehe 22 , November 2013 katika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es salaam ,makamo mkuu wa chuo, Profesa Rwekaza Mkandala anaingia katika ukumbi huu...
View ArticlePRESS CONFERENCE VIDEOS -TAMKO LA DK. KITILA MKUMBO
SIPO HAPA KUGOMBANA NA CHAMA (MKAKATI WA MABADILIKO 2013) KUKATAA DEMOKRASIA,KUKATAA KUKOSOLEWA …” UHAINI”
View ArticleYALIYOJIRI: MKUTANO WA CHADEMA NA WAANDISHI WA HABARI - NOV 26, 2013
Mheshimuwa John Mnyika, Tundu Lissu na Benson Kigailla ndio wazungumzaji wakuu.Mnyika - amewaleeza waandishi kuwa sekritarieti ya chama ilikaa kikao chake jana kujadili mambo kadhaa ndani ya...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA BUKOBA
Picha safi ya kisiwa cha Musila, huu ni ujio wetu mwingine kabisa.Furahia Bukobawadau blog, furahia maeneo mazuri yenye kuvutia mjini BukobaMaeneo yenye fursa ya kuwekeza na yenye kuvutia utaliiUvuvi...
View Article