Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Upimaji ardhi Ngara waendelea

ZOEZI la upimaji ardhi na utoaji wa hati za kimila kwa wananchi wa Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera unaendelea ili kuandaa matumizi bora ya ardhi katika wilaya hiyo.Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Constantine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA wadogo wanakabiliwa na ukosefu wa soko la mazao ya biashara na chaku...

WAKULIMA wadogo wanakabiliwa na ukosefu wa soko la mazao ya biashara na chakula.Wakulima hao walitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti katika kongamano la wakulima kuibua changamoto za kilimo...

View Article


Maofisa ugani watakiwa kuwa na mavazi ya shamba

Na Ashura Jumapili.MKUU wa Wilaya ya Muleba, Lembris Kipuyo, amewaagiza maofisa ugani wa halmashauri hiyo kuwa na mavazi ya shambani yaliyowekewa nembo ili watambulike kwa wakulima.Kipuyo alitoa agizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK KINACHO ENDELEA MSIBANI KWA MAREHEMU HASSAN MUNJURI (HANS)NYUMBANI...

Mdau Amani Mwarabu mfanyakazi wa Kampuni ya Sigara mwenzake na Marehemu Hassan Munjuri maarufu kama(Hans )akionyesha jeraha la risasi, baada ya kujeruhiwa na mtu asiyejulikana na mtu huyo kumuua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK CAMERA YETU IKIANGAZA KIJIJINI BUGANGUZI MULEBA DECEMBER 2013

Kijiji cha Bushemba Kata ya Buganguzi Wilaya ya Muleba,Camera yetu inakutana na mdau pichani,mfanyabiashara ya ndizi akiwa katika ukusanyaji wake kabla ya kuzipeleka Sokoni. Maeneo ya kijiji hiki cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KAGERA KANAL MASSAWE AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU...

 Maadhimisho hayo yamefanyika leo ndani ya Manispaa ya Bukoba, yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe,kwa kufanya matembezi ya kuhimiza utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA TANGAZO LA TANGAZO BADILISHA CONCERT MWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI KUFANYIKA CCM KIRUMBA, MWANZA DESEMBA 13-15, 2013

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO...

Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake Dar Live.Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki.Tunda Man nae akikamua. Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Omar Kopa akiwapagawisha mashabiki. Snura Mushi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK MAKING VIDEO YA TANGAZO LA MARUKU BEACH PARTY ITAKAYOFANYIKA SIKU YA...

 Hizi ni baadhi ya picha katika utengenezaji wa video ya tangazo la Maruku Beach Party itakayo fanyika pande za Maruku Beach siku ya mwaka mpya 1/1/2014,Video hii imefanyika siku mbili tofauti na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASEMAVYO PRIVATUS KARUGENDO KUHUSU BUKOBA

LEO napenda kuzungumzia mji wa Bukoba ambao ndiyo makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kuna njia kuu tatu za kuingia mji wa Bukoba. Unaweza kuingia kwa barabara, kwa ndege au kwa meli.Ukiingia Bukoba kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA MAGAZETI YA LEO JUMATANO DEC 11,2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA UJASIRIAMALI KURINDIMA MWANZA IJUMAA HADI JUMAPILI

Mratibu wa Tamasha la Ujasiriamali, Abdallah Mrisho (wa pili kulia) akiongea jambo na waandishi wa habari leo ndani ya ukumbi wa The Atriums Hotel iliyoko Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTIAN BELLA AOMBA KUSHIRIKI TAMSHA LA GURUMO JUMAMOSI HII TCC CLUB

MWIMBAJI anayesadikika kuwa na sauti tamu zaidi kwa sasa, Christian Bella kutoka Malaika Music Band, amesema atashiriki tamasha la Gurumo litakalofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja wa TCC Club...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA MAALUM DEC 11,2013

NGARAMwenyekiti mstaafu wa chama cha mapinduzi mkoani Kagera Bw pius Ngeze amewataka viongozi wa ngazi zote kufanya shughuli za kuwaletea  maendeleo wananchi wao kwa kuzingatia uvumilivu na heshima kwa...

View Article


BURIANI TA MWALIMU ELIAS BILAULI LWAKATARE

Tunamlilia na kumsindikiza kwa pambio Baba yetu, Babu yetu, Mwalimu wetu, Ndugu yetu, Rafiki yetu, Jirani yetu, muumini mwenzetu na Mtanzania mwenzetu. Wimbo wa “Engozi za Omukama..” (Upendo wa Mungu)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 11/12/2013 ALBERT MSANDO Mwanasheria wa Zitto...

 Baada ya kupokea barua yake ya mashtaka 11 tarehe 01/12/2013 ambayo anashitakiwa nayo na iliyomtaka ajitetee kwa maandishi.Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) jana tarehe 10/12/2013 amefanya hivyo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA SEND OFF PARTY YA BI JANE MALINGA

 Matukio katika shughuli ya send off ya Bi Jane Malinga iliyofanyika  hivi majuzi katika ukumbi wa Mirado Sinza jijini Dar es Salaam. Kivutio kikubwa ni mchanganyiko wa rangi  hizi mbili GREEN&...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMAHANI PICHA HIZI ZINATISHA:Apoteza maisha kwa kuchomwa mshale wenye sumu

 Mtu mmoja  ambaye hakufahamika jina lake mara moja amekutwa amekufa jana katika uwanja wa posta ya zamani wilayani Ngara mkoani Kagera akiwa amechomwa mshale shingoni unaosadikiwa kuwa na sumu.Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WANAWAKE KARAGWE: Wanawake pazeni sauti zenu

UMOJA wa Wanawake Wajane (UWK) Wilayani Karagwe umesema unyanyasaji wa kijinsia katika jamii unaweza kutokomezwa iwapo wanawake watavunja ukimya na kupaza sauti zao.Akizungumza na waandishi wa habari...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>