DK MAGUFULI AITEKA IRINGA AWAFAGILIA MWAKALEBELA, MWAMOTO
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli ukitoka kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa baada ya mkutano wa kampeni kumalizika Katibu wa...
View ArticleLOWASSA KAMA LULU TANGA
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowassa amelazimika kuahirisha mkutano mjini Tanga baada ya maelfu ya...
View ArticleMSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI...
Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo...
View ArticleDK MAGUFULI ANG'ARA DODOMA, AAHIDI KUWAPATIA VIJANA WANAOMALIZA VYUO VIKUU...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Kata ya Pagawa, Jimbo la Ismani, Iringa VijijiniAkihutubia Kwa nyakati toifauti katika kampeni...
View ArticleDK MAGUFULI ANG'ARA DODOMA, AAHIDI KUWAPATIA VIJANA WANAOMALIZA VYUO VIKUU...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Kata ya Pagawa, Jimbo la Ismani, Iringa VijijiniAkihutubia Kwa nyakati toifauti katika kampeni...
View ArticleMATUKIO YALIYOJIRI MJINI BUKOBA SIKU YA UTALII DUNIANI 2015
Mjini Bukoba Maadhimisho ya siku ya Utalii kwa mwaka 2015 yalifanyika siku ya Jumamosi kwenye Viwanja vya fukwe za Kiroyera Siku ya Utalii Duniani huadhimishwa tarehe 27 Septemba ya kila mwaka ambapo...
View ArticleWATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MKOANI MBEYA WAMO RAIA WA ETHIOPIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi. Watu watano wamefariki dunia Mkoani Mbeya katika matukio matatu tofauti likiwemo la ajali ya haice iliyosababisha vifo vya watu wanne mkoani hapa....
View ArticleDK MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiunganisha alama ya vidole ya V ya Chadema, na kuifanya isomeke W akimaanisha Wananchi atakaowafanyia kazi akiingia Ikulu, baada ya...
View ArticleNEC yasema iko katika hatua ya mwisho ya kuboresha mfumo wa matokeo ya uchaguzi.
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC iko katika hatua za mwisho za kuboresha mfumo wa matokeo ambapo ukimalizika vyama vya siasa vitaitwa kukagua na ikiwezekana wakae zaidi ya siku moja kufuatilia namna...
View ArticleKONGAMANO LA ELIMU YA JUU LAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA
Afisa Masoko wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) wa Tawi la Arusha, Regina Lema akitoa maelezo kwa mmoja ya wageni waliofika katika maonyesho yaliyoandaliwa na wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
View ArticleSHAIRI :WAZALENDO – 2015
WAZALENDO – 20151) AWAMU YA TANO NDO HII, VIONGOZI KAMPENINITWAMUHITAJI SAHIHI, WALA SIO WA UTANIHAPA HAKUNA KUWAHI, SAFARI HII TUKO MAKINIBIBLIA QUR’AN, VIAPIE UKO MAKINI.2) SAFARI HII TUMECHOKA...
View ArticleBi. Samia Suluhu Amnadi Dk Magufuli Majimbo ya Serengeti na Mwibara Musoma
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiwahutubia baadhi ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kampeni...
View ArticleMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA...
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida...
View ArticleMagufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?
Jenerali Ulimwengu Toleo la 425 Raia Mwema 30 Sep 2015KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani...
View ArticleLOWASSA AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA LEO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh....
View ArticleKENYA-TANZANIA BUSINESS FORUM ON OCTOBER 6, 2015 IN NAIROBI, KENYA IN PICTURES
Executive Director of Tanzania Investment Centre Ms. Juliet Kairuki welcomes the President of Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta to the Forum President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta...
View Article