Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ALIVYOFUNGA KAZI MASASI, MKOANI MTWARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Boma, Mjini Masasi Mkoani Mtwara, kulikifanyika Mkutano wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ASOMEKA VYEMA NKENGE-BUNAZI

Umati wa wananchi Wilayani Missenyi wakimpungia Mikono Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo lake la Nkenge ,Uliofanyika Bunazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARUSI YA REVOCATUS KASHAGA NA BI JOSPINA KAGEMULO YAFANA - MJINI BUKOBA...

Matukio ya picha yalijiri katika harusi ya wadau wenzetu Bw. Revo na Bi Jospina iliyofungwa wiki jana kwenye Kanisa Kuu Jimbo katoliki Bukoba na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA MTAKATIFU FRANSIC ZIARANI MAREKANI

Baba Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake.Baba Mtakatifu Papa Francis akiwa katika mapokezi chini ya  Rais Obama na familia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI BUKOBA JUMAMOSI SEP 26 ,2015

KIONGOZI WA MAANDAALIZI: KIROYERA TOURS. ( WADAU WOTE PIA WANAKARIBISHWA ).KAULI MBIU YA MWAKA HUU : “MAMILIONI YA WATALII NI MAMILIONI YA FURSA.” LENGO NI NINI?Umuhimu wa kuadhimisha siku ya utalii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR...

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA BUKOBA

 Nyumba yenye vyumba vitatu vyote Self Contained inapangishwa Maeneo ya Kashura-Bukoba ina  sebule/Sitting room, dinning ,jiko na sehemu ya stoo. Nyumba ipo barabarani kabisa  jirani na Kolping zamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: WAZIRI CELINA KOMBANI ATUNAE TENA

Celina Kombani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa zinasema kuwa Waziri Kombani ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASWALI YA WIKIENDA KISIASA

Maswali ya Wikienda:NA Mimi MwanakijijiA. Ni lazima kwa kila MwanaCHADEMA - mwanachama, mfuasi au shabiki - kumkubali na kumpigia kura Lowassa kuwa Rais? Je, mtu huyo akiwa na sababu za kutompigia kura...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa mpya kuhusu mtoto aliyepotea na house-girl

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na yaya wake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.Tunashukuru wote waliojumuika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:VIFO VYA MAHUJAJI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kufariki kwa Mahujaji zaidi ya 700 na wengine zaidi ya 800 kujeruhiwa wakati wakishiriki ibada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI CDF JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE YU BUHERI WA AFYA NA YUPO...

 Taarifa zinazosambaa kumhusu Mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali  Davis Mwamunyange zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii kwamba amekula chakula chenye sumu na amekimbizwa jijini Nairobi nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA BUKOBA

 Nyumba yenye vyumba vitatu vyote Self Contained inapangishwa Maeneo ya Kashura-Bukoba ina  sebule/Sitting room, dinning ,jiko na sehemu ya stoo. Nyumba ipo barabarani kabisa  jirani na Kolping zamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Shein Mgeni Rasmin Baraza la Eid El Hajj Ukumbi wa Chuo cha Amali...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI MDAHALO WA MKIKIMKIKI LEO

Leo Jumapili Septemba 27, 2015 tunawaletea midahalo ya Mkikimkiki na leo utajikita kwenye uchumi, wawakilishi wa vyama kwa leo ni;1. Onesmo Kyauke ambae ni mshauri wa ilani UKAWA2. Khamis Kigwangalla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKUKUU YA MTAKATIFU MIKAILI NA WATOTO USHARIKA KIGARAMA K.K.K.T

Picha:Kanisa la Usharika Kigarama K.K.K.T Maandamano ya watotoMchungaji Diocles Mashongole wakati wa mahubiriKANISA la K.K.K.T,Usharika wa Kigarama,Dayososi  ya Kaskazini Magharibi linahitaji zaidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995

 Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Septemba 26,1995, Jaji Mstaafu Osebia Munuo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATUNUKIWA NISHANI YA BALOZI BORA WA AFRIKA BRUSSELS

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya Global Change for Africa Award Mhe. Dr. Phillip Collins baada ya kutunukiwa nishani ya Balozi Bora...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>