KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA...
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka...
View ArticleUZINDUZI WA CHEZA KWA MADOIDO WAFANA DAR LIVE!
Yamoto Band wakizindua rasmi video yao mpya inayofahamika kwa jina la Cheza kwa Madoido katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Zakhem jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Wasanii wa Yamoto...
View ArticleMAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE JOSEPH MSHUMBUSI
 Shughuli ya Mazishi ya Mzee Joseph Mshumbusi iliyofanyika siku ya Ijumaa Sep 11,Nyumbani kijijini Kanazi-Bukoba na kuhudhuriwa na maelfu ya watu wakiongozwa na Viongozi wakuu wa Serikali Vyama vya...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOTIKISA MJINI TABORA LEO
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali...
View ArticleLOWASSA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA SERIKALI...
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia...
View ArticleMAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...
View Article'LWAKIS' AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KUUSAKA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA
 Matukio yaliyojiri jana mkutano wa UKAWA wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Hamugembe,Uliofanyika katika Viwanja vya Kashabo-Kanisani,Mkutano huu ni wa nne kufanyika tangu kuanza kwa kampeni za...
View ArticleKIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO
​Ndege aina ya Super Bat DA-50Na Daniel Mbega, MkomaziNI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya...
View ArticleLOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, BARIADI MKOANI SIMIYU LEO
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Bariadi (hawapo pichani) wakati alipowasili kwenye...
View ArticleDK MAGUFULI AWATAKA WANANCHI, VIONGOZI KUDUMISHA AMANI YA NCHI ILI AONGOZE...
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma Mgombea...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 8 YA BABA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU NA BIRTHDAY YA...
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) Mroki Mroki-Father Kidevu Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika nane sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan...
View ArticleKAMPUNI YA HUAWEI, BENKI YA NMB, WAMKABIDHI MSAADA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA...
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Jimmy Liguo Jin (kushoto), akimkabidhi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda moja ya kompyuta kati ya 50 zilizotolewa na kampuni hiyo  Dar es Salaam leo asubuhi,...
View ArticleLOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA LEO
 MAELFU ya wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika...
View ArticleMTITI WA LOWASSA MJINI BUKOBA NI BALAAA!
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata kushuhudia mpangilio mzuri wa mkutano,Kiroho safi jamaa wamekamua...
View ArticleVIDEO /PICHA MTITI WA LOWASSA BUKOBA LEO
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata kushuhudia mpangilio mzuri wa mkutano,Kiroho safi jamaa wamekamua...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOTIKISA CHATO JIONI YA LEO.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji...
View ArticleMAGUFULI BUKOBA KEEPS IT AT THE PEAK
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa...
View Article