UDA YAKANUSHA JUU YA TAARIFA ZA KUFIRISIKA
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Simon Kisena
View ArticleNYUMBA INAUZWA KASHAI BUKOBA
Nyumba ipo maeneo ya Kashai-Kashenye Mjini Bukoba ,Nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JAN 29,2016
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI , IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 505043 / 0784 505045 Email .bukobawadau@gmail.com ,Insta @bukobawadau ANGALIZO KUMBUKA...
View ArticleNDANI YA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JAN 29,2016
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI , IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 505043 / 0784 505045 Email .bukobawadau@gmail.com ,Insta @bukobawadau ANGALIZO KUMBUKA...
View ArticleKUHUSU KUBENEA BUNGENI
Kumetokea mkanganyiko/mgongano wa mawazo na mabishano katika viunga mbali mbali nchini, kuhusiana na kauli alizozitoa Mbunge wa Ubungo Saeed Kubenea wakati akiomba muongozo kwa mwenyekiti wa Bunge...
View ArticleSUMAYE AIANGUKIA SERIKALI WANANCHI KUVAMIA SHAMBA LAKE LA EKARI 33 MABWEPANDE...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye Dar es Salaam leo asubuhi mara baada ya kuwasili eneo la Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam...
View ArticleBONANZA LA MICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI LA JAMBO BUKOBA LAFANA KATIKA VIWANJA...
Shirika la Jambo Bukoba lisilo la Serikali linalojihusisha na maendeleo ya elimu na michezo Mkoani Kagera limefanya Bonanza la michezo kwa shule za Msingi kutoka Halmashauri zote za Wilaya na Manispaa...
View ArticleWATENDAJI SABA WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI WA MILIONI 851 KATIKA...
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera limewasimamisha kazi Watendaji sita wa Halmashauri kupisha uchunguzi wa upotevu na ubadhirifu wa milioni 851 za mfuko wa...
View ArticleMWANGAZA, Sehemu ya 4:
MWANGAZA, Sehemu ya 4: Siku moja tukiwa darasa la saba, tulichukuliwa wanafunzi wachache tuliokuwa tunafanya vizuri darasani kwa ajili ya kwenda kushindanishwa na shule nyingine za mkoa wa Singida. Hii...
View ArticleNYUMBA INAUZWA KASHAI BUKOBA
Nyumba ipo maeneo ya Kashai-Kashenye Mjini Bukoba ,Nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY SALEH ALLY, MHARIRI KIONGOZI WA MAGAZETI YA CHAMPIONI
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Saleh Ally, mchambuzi na mwandishi mkongwe wa michezo nchini Tanzania ambaye kwa sasa ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi yanayomilikiwa na Kampuni ya Global...
View ArticleWAHUDUMU WA AFYA KATIKA JAMII WATOA ELIMU NA UHAMASISHAJI KUHUSU UZAZI WA...
Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyesimama katikati) akisisitiza jambo wakati akifungua mafunzo ya wiki ya wahudumu wa afya katka jamii juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu...
View ArticleMSANII WA FILAMU ROSE NDAUKA NA MENEJA WAKE WAZINDUA JARIDA LITAKALOKUWA...
Msanii wa Filamu nchini, Rose Ndauka (kushoto) na Meneja wake Ramaehan Mwanana wakionesha Jarida jipya litakalojulikana kama Rozzie Magazine wakati wa uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam juzi....
View ArticleMbunge wa Geita ataka bangi, mirungi vihalalishwe
Mbunge wa jimbo la Geita Vijijini Joseph Msukuma Kasheku (CCM) ameiomba serikali kufanya utafiti wa kina kati ya madawa ya kulevya ya mirungi,bhangi na pombe za makaratasi maarufu kama viroba nini kina...
View ArticleKOO ZA BUHAYA, TAMADUNI NA MIIKO
Koo, tamaduni na miiko katika Buhaya ni vitu ambavyo vinatambulika na vina maana sana katika kumwelezea mtu husika katika mambo mbali mbali ya kijamii katika Buhaya. Mambo haya yameanza kupotea, mbaya...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, JAKAYA KIKWETE AWASILI SINGIDA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA...
Turn off for: Swahili Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jioni leo, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya...
View Article