Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKA FT DIAMOND MAKE ME SING OFFICIAL VIDEO

Muziki wa Tanzania unazidi kupanda chati siku baada ya siku kutokana na kuanza kupenya sehemu mbalimbali duniani na hivyo kuwafanya wasanii wa Tanzania kuanza kupata kolabo na wasanii wakubwa barani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMULIZI USIKU WA LEO JUMAMOSI FEB 13,2016

Alimpenda mno mke wake, alijitahidi kumpa mkewe kila kitu kilochopo ndani ya uwezo wake, lakini mke wake hakuwa akiridhika na ku appriciate. Ingawa hakuwa tajiri lakini alijitahidi mno ku share kile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMIGANI

1. Ab’atafile nka nyina, afa nka nyinazara 2. Aba owa njura tibafa 3. Ababegana embisi, tibabegana ehire 4. Ababi batamisa okuchura 5. Ababili bageya omoi 6. Abachumbi kukanya nikwo enyungu kuyenga 7....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa ya kwenda Ujerumani

 MenejawaMasokowaStarTimes Tanzania, Bw. Damien Leo (katikati) akiwaonyeshawaandishiwahabarinambariyasmatikadiyamshindiwadrooyapiliyakujishindia safari yakwendaUjerumanimwishonimwa wiki jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORODHA YA PILI YA HATI MILIKI ZA VIWANJA VYA MRADI WA VIWANJA 5000

1.    Mkurugenzi wa Manispaa Bukoba kwa ushirikiano na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania-Maendeleo ya Miundombinu na Miradi(UTT-PID) anafurahi kutoa orodha nyingine ya rasimu ya hati miliki za viwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI MJINI BUKOBA FEB 17,2016

Taswira mjini Bukoba, Picha iliyochukuliwa kwa juu maeneo ya Rwamishenye (round about)Msitu wa Kyamunene barabara ya Maruku Mwonekano wa Jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege Mjini BukobaMbele ya Camera...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAITABA STADIUM YAELEKEA KUKAMILIKA KUWEKEWA NYASI BANDIA NAKUREJEA KWA...

Hatimaye matengenezo ya dimba(pitch) la kuchezea mpira wa miguu katika Uwanja maarufu wa mjini Bukoba ujulikanao kama Kaitaba Stadium yanaelekea mwisho kukamilika mara baada ya kuwasili kwa raba za...

View Article

MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NI YAPI ??! JE HILI HALIMO?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB yakabidhi milioni 75 kusaidia Mkutano wa Makamanda Jeshi la Polisi

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia). Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA UGANI WADAIWA KUCHANGIA CHANGAMOTO YA KILIMO WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA

 Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Emmarold Mneney (kushoto), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama  kilichopo Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI UGANDA

11:26 Tume ya Uchaguzi imetoa mkumbo wa pili wa matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais ambayo yanaonesha Rais Yoweri Museveni ameweka pengo la kura milioni moja kati yake na Dkt Kizza Besigye. Matokeo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI YA KAIZIREGE YAONGOZA KITAIFA

Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne toka shule ya Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEB 20,2016

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA BUTIAMA MKOANI MARA WAPATIWA MAFUNZO YA KUPASHANA HABARI ZA KILIMO...

Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi (kulia), akizungumza na wakulima na Washiriki wa Mafunzo ya kutumia simu za mkononi kupashana habari za kilimo yaliyofanyika Kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKRETARIETI YA MKOA WA KAGERA LAZINDULIWA RASMI NA...

Sekretarieti ya Mkoa wa Kagera yafanya kikao cha Baraza la Wafanyakazi ambacho kilikuwa mahsusi kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wake, pili kuzindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Mkoa, na tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahabari waliminya sauti za wanawake Uchaguzi Mkuu - Utafit

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga akifungua warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSOI WAFANYA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAFUNZI WA KIKE TOKA VYUO VIKUU NA...

Mbunifu wa kazi za ufumaji na mmiliki wa Fflorinyan Designes Ms. Flora M. Kawa akizungumza jambo katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za...

View Article


VIDEO YA KIPINDI MAALUM: RAIS MAGUFULI ALIPOKUATANA NA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAO LA NDIZI KULIMWA KIBIASHARA NA KUTAFUTIWA MASOKO YA KIMATAIFA ILI KUKUZA...

Wakulima na Wajasiliamali wa zao la ndizi Mkoani Kagera wapewa somo na shirika lisilokuwa la Serikali la BTC Tanzania (Belgium Training Cooperative Tanzania) juu ya kulima kwa wingi zaidi zao hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUKOBA YETU LEO JUMAPILI FEB 21,2016

 Muonekano wa Kisiwa cha Musila jioni ya leo Feb 21,2016Ukanda wa ziwa VictoriaTaa za Solar zinazo angazia maeneo ya Hotel ya Kolping Mjini Bukoba.Mitaa ya Uzunguni BukobaOmwana Koku Gtrezo Martin...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>