Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TRANSCATHETER " NJIA SALAMA ZAIDI KWA TATIZO LA TUNDU LA MOYO KWA WATOTO

DK.C.S Muthukumaran, mtaalamu wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka hospitali za Apollo.Na Mwandishi Wetu,Watoto wachanga wanaozaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo, linalosababishia kudumaa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PUNGUZO LA BEI KUTOKA SHIRIKA LA NDEGE LA RWANDAIR

Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la RwandAir, Ndugu Ibrahim Bukenya akiwa ofisini kwake. Shirika la Ndege la RwandAir limetangaza kuwepo kwa punguzo la bei zake kwa kuelekea sehemu zifuatazo: Kigali,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI, WATAFITI KUTOKA COSTECH WAZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA...

Wanahabari na Watafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), waliokuwa katika ziara ya kuzungumza na wakulima wa mkoa wa Mwanza kuhusu changamoto za kulimo zinazo wakabili pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA WA MCHELE ASHINDA SAFARI YA STARTIMES KWENDA UJERUMANI

 Mshindi wa droo ya pili wa promosheni ya Pasua  Anga na StarTimes, Bw. Johannes Maluli (kulia), akibonyeza kitufe cha kuchezesha droo ya kumpata mshindi wa tatu wa safari ya kwenda Ujerumani kutazama...

View Article

ALI KIBA (Jokate Ni Rafiki Yangu Wakaribu)

ALI KIBA (Jokate Ni Rafiki Yangu Wakaribu) EXCLUSIVE ON THE SPORAH SHOW.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONI KUTOKA KWA MDAU WETU

Habari za usiku wapendwa Watanzania wenzangu. Leo nataka niongelee suala ambalo ni sensitive kidogo, na sio kidogo ni sensitive sana kwa sababu linahusu usalama wetu, kwa lugha za wenzetu wanasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEB 25,2016

Magazeti ya leo Alhamisi Feb 25,2016 yanakufikia  kwa hisani kubwa ya Kinywaji cha Windhoek.BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUKUU YA LEO ALHAMISI FEB 25,2016 !!

"WAVULANA wengi WANAUME wachache, WASICHANA wengi WANAWAKE wachache. Matokeo yake MAHUSIANO mengi NDOA chache, WATOTO wengi FAMILIA chache" - Togolani Mavura

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya NMB yatoa milioni 300 kushindaniwa na wateja wake

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, alipokuwa akitambulisha mchezo wa bahati nasibu utaoendeshwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MAWASILIANO YA TIGO YATOA MSAADA WA FEDHA ,KIASI CHA SHILINGI MIL...

Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo kanda ya Kaskazini,Henry Kinabo (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5 afisa uhusiano wa kituo cha kulea watoto waishio kwenye mazingira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ATETA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI...

Turn off for: Swahili Waziri wa Fedha na Mipango,Dk Philip Mpango akizungumza na jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Arusha leo katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa na kuwakumbusha wajibu wao kulipa kodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLOGU YA WANANCHI YATIMIZA MIAKA MITATU SHEREHE KUFANYIKA KESHO HOTELI YA...

 Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela 'Le Mutuz' , akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela 'Le Mutuz' , akionesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEB 26,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHABARI SULEIMAN MSUYA WA GAZETI LA JAMBO LEO AACHANA NA UKAPERA

 Mwanahabari Suleiman Msuya wa Gazeti la Jambo Leo akitafakari jinsi atakavyoyaanza maisha ya ndoa baada ya kufunga ndoa na Shamim Rabim nyumbani kwa bibi harusi Jet Lumo jijini Dar es Salaam leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO YANASA NYUMBA TANO KWA WIZI WA MAJI TABATA

Fundi wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), akiondoa bomba la maji lililounganishwa kinyume cha taratibu katika moja ya nyumba iliyopo eneo la Tabata Magengeni jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIRTHDAY PARTY YA MWANADADA ASIYECHUJA BI ASIMWE KATALAIYA (OMWANA ASIMWE)

Kutoka katika Ukumbi wa Rocky Pub Usiku wa jana Ijumaa feb 26,2016 ilikuwa Birthday Party ya mwanadada asiyechuja Bi Asimwe Ngemela maarufu kama (Omwana) Asimwe Katalaiya (pichani)Wadau wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEB 29,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAPCO ILIVYOWABEBA WALEMAVU KILIMANJARO MARATHONI 2016.

Washiriki wa mbio za Km 10 upande wa walemavu wakijiandaa kushiriki mbio hizo zinazodhaminiwa na kampuni ya GAPCO.Mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TIGO HALF MARATHONI" YAVUNJA REKODI YA IDADI YA WASHIRIKI

Washiriki zaidi ya 4000 wakiwa wamejitikeza kushiriki mbio za "Tigo Half Marathoni " km 21 ikiwa ni rekodi mpya tangu kuanza kwa mbio za Kilimanjaro Marathoni.Raia wa Kigeni wakipiga serfie kabla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNCDF YAWAKUTANISHA WATAALAMU WA FEDHA KUTOKA NCHI MBALIMBALI KUJADILI JINSI...

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Fedha wa Umoja wa Mataifa (UNDCF), David Jackson, (kulia), akitoa mada kwenye mkutano wa siku mbili wa wataalamu wa fedha na wadau wa maendeleo 62 kutoka nchi mbalimbali...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>