MBUNGE WA NKENGE BALOZI DK KAMALA AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Kamala akiweka jiwe la msingi la chumba cha darasa leo katika sm Kikukwe kata ya Kanyigo linalojengwa na vijana waliosomea shuleni hapo. Chumba hicho...
View ArticleBALOZI DR DIODORUS KAMALA ACHANGIA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA YA KITOBO
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (pichani) akiongea na wananchi wa Kata ya Kitobo jimboni humo katika mkutano wake na wananchi uliofanyika Jana Feb 29,2016 katika shule ya...
View ArticleEWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu bei kikomo za mafuta...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMLAKI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiongea na wanahabari mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu...
View ArticleMETHALI 777 ZA KIHAYA ( 777 Haya Proverbs)
Emigani ya buhaya bikumi mushanju, mwonshanju na mushanju (777)1. Aba owa njura tibafa 2. Ababegana embisi, tibabegana ehire 3. Ababi batamisa okuchura 4. Ababili bageya omoi 5. Abagenda babili...
View ArticleMH.MBUNGE BALOZI DR DEODORUS KAMALA ANAENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza kwa umakini Diwani wa Kata ya Bwanjai Bwana Phocas pichani (kulia )wakati akitoa taarifa yake kwa Mbunge pamoja kuelezea...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA17 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA...
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha...
View ArticleUTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi wa shirika hilo (hawapo pichani ) mara baada ya kuteuliwa na Waziri wa...
View ArticleMFUKO WA GSM WAMKABIDHI VIFAA VYA UJENZI, MAGODORO, MKUU WA WILAYA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi kutoka Mfuko wa GSM ambao...
View ArticleZIARA YA BALOZI DR KAMALA KATIKA KATA YA GERA MARCH 3,2016
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge (pichani katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya Akina mama wa Kata ya Gera Wilayani Missenyi katika ziara yake inayoendelea...
View ArticleMKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas...
View ArticleJamii Media yafungua kesi Mahakama Kuu kupinga vifungu Sheria Makosa ya Mtandao
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence M. Melo (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kufungua kesi Mahakama Kuu Dar es Salaam kutaka Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha...
View ArticleTANZIA:JOSEPH CLEMENCE RWEGASIRA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Pwani na baadaye balozi wa Tanzania nchini Zambia halafu akawa Waziri wa viwanda na Biashara, na baadaye waziri wa Kazi...
View ArticleRAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA KAKA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi...
View ArticleDC -PAUL MAKONDA AZINDUA VITAMBULISHO VYA WALIMU KUPANDA DALADALA BURE JIJINI...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akimvika kitambulisho Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Turiani, Beatrice Mhina Dar es Salaam leo asubuhi, baada ya kuvizindua vitambulisho hivyo...
View ArticleMINZORO-MISSENYI :BALOZI DR KAMALA AITIMISHA ZIARA YAKE JIMBONI MWAKE
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokelewa na Viongozi mbalimbali wa Kijiji cha Bulembo mara baada ya kuwasili kijijini hapowasili katika Kata ya Minzoro ikiwa ni...
View ArticleSASI ZA KIRAI ZATAKIWA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa PEDDEREF, Nuru Saleh, juu ya misingi ya upataji nafuu kwa...
View Article