KUWASILI KWA MWILI WA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA MJINI BUKOBA MARCH 7,2016
Ndugu Julius (Tibaijuka) Rwengasira pichani ambaye ni mmoja wa watoto wa Marehemu Mzee Joseph Rwegasira akiwa amebeba Msalaba mara baada ya kuwasili kwa mwili wa mzee wetu, mpendwa wetu Balozi Joseph...
View ArticleNinawatakia wanawake wenzangu Ulimwenguni kote, Heri ya Siku ya Mwanamke-MJ
Monica Joseph Mmiliki wa Kampuni ya Monfinance Investment Group na Muwakilishi wa Philips Tanzania."Wanawake Tunapashwa Kuona Jinsia yetu kama rasilimali na sio Dhima". ( Women should view their...
View ArticleKongamano la Moyo wa Wanawake lafana
Mwishoni mwa wikiendi ilipopita kumemalizika tukio kubwa kuelekea siku ya mwanamke Duniani, kulikuwa na Kongamano la Moyo wa Mwanamke Katika kanisa la Living Water Centre kawe,Kongamano hilo lilikuwa...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI FEBRUARI, 2016 WAPUNGUA KWA ASILIMIA 5.6
Mkurugenzi wa Takwimu za Sensa na Jamii Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu mfumuko wa bei...
View ArticleBenki ya NMB yatoa milioni 25 kwa Timu ya Taifa Mpira wa Magongo
Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 25 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) ikiwa ni fedha ya udhamini wa...
View ArticleMAELFU WAHUDHURUA MAZISHI YA BALOZI JOSEPH CLEMENCE RWEGASIRA HUKO KANYIGO !!
Ni msiba mkubwa, kwetu na kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera lakini kubwa zaidi kwa familia yake, kifo ni kifo ila hiki cha Marehemu Balozi ,Mzee Joseph Rwegasira (81)kimeacha gumzo!Pichani wanaonekana...
View ArticleDKT. POSSI AZINDUA KITABU CHA “HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? (Jinsi gani Tanzania...
View ArticleBALOZI DR KAMALA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI KATARABUGA
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani kushoto akimsikiliza kwa makini Afisa Elimu wa kata Bwanjai Bw. Winchslaus Patrick , Balozi Dr. Kamala amefanya ziara ya kutembelea...
View ArticleCCM YATAKA WAKURUGENZI MANISPAA YA ILALA, KINONDONI WAWAJIBISHWE KUCHELEWESHA...
Na Dotto MwaibaleCHAMA cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kimemuomba Waziri Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene kuwawajibisha...
View ArticleBARAZA KUU CHADEMA:Katibu Mkuu wa CHADEMA ni Dkt. Vicent Mashinji.
#BarazaKuuCHADEMA"Suala ambalo hatutalivumilia ndani ya Chama ni suala la rushwa, linagawa taifa" M/kiti Mbowe. Mabadiliko daima. #BarazaKuuCHADEMA"Tumetafakari,kama CCM wameshindwa kutatua tatizo...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KATIKA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA ATOA RAI MKOA HUO...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa awasili Mkoani Kagera kwa ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 15, 2016 katika Manispaa ya Bukoba, Wilaya za Missenyi, Karagwe...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU MH.KASSIM MAJALIWA MISSENYI - KAKUNYU NA KAGERA SUGAR
Ziara ya Mh.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imeendelea mkoani Kaera,kwa siku ya Jana Waziri Mkuu ametembelea kiwanda cha sukari cha KAGERA SUGAR na kukagua ranchi za Taifa za misenyi (Kakunyu) zilizopo...
View ArticleWATAALAM WAJADILI MENEJIMENTI YA MAAFA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KIKAO CHA...
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya akifuatilia hoja za wajumbe wa Kikao cha Wataalam kutoka Wizara, Idara na Taasisi za serikali (hawapo pichani),...
View ArticleBALOZI DR KAMALA AENDELEZA ZIARA KWA KUTEMBELEA VYUO VYA UFUNDI VYA PARTAGE
Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Kamala akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Byayungu kilichopo Kanyigo-Missenyi Bwana Deusidedith Mwijage pichani kushoto wakati akiwa katika...
View ArticleHOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM MIKOCHENI 16/03/2016
Ndugu zangu, Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua...
View ArticleRC MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA APOKELEWA OFISI KWAKE NA KUZUNGUMZA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishukua kutoka kwenye gari lake la Ukuu wa Mkoa wakati alipokuwa akifika kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana. Katibu Tawala...
View ArticleTANZIA:JOSEPH CLEMENCE RWEGASIRA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Pwani na baadaye balozi wa Tanzania nchini Zambia halafu akawa Waziri wa viwanda na Biashara, na baadaye waziri wa Kazi...
View Article