Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAFLANI ASKARI WA KIKE KUVALIA SKETI FUPI AKIWA KAZINI NCHINI KENYA!

 Picha zinaonyesha Askari mwanamke nchini Kenya alivyo zua kihoja kwa kuvalia sketi fupi akiwa kazini,ni tukio lililo pelekea maswali mengi iwapa mavazi yake yamekiuka sheria au laa!?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA BIRTHDAY PARTY YA BI RUKIA KASSIM KUPAMBWA NA UZINDUZI WA...

Ngoma za masikio ya mwanalibeneka wenu (kiranja)wa Bukobawadau Blog yamenasa fununu za kuwepo kwa pati ya aina yake mwishoni mwa wiki hii itakayo fanyika ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club. Ndipo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MKUTANO MKUU WA MIZANI WA KCU (1990)Ltd ULIOFANYIKA JANA APRILI 29,2014

 Meneja bodi ya cha kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU (1990) Ltd Ndg Vedastus Ngaiza akitolea jambo ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbe wa Bukop Coop unaomilikiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AELEZEA MIKAKATI YA KUTAFUTA FEDHA ZA KUTEKELEZA MIRADI KATIKA...

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala  akielezea Mawaziri na Wadau wa Bonde la Ziwa Tanganyika jitihada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO MH.DKT FENELLA...

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akitoa taarifa kwa wanahabari kuhusu sherehe za ufunguzi wa mbio za wa uhuru kwa mwaka 2014 zitakazofanyika kesho May 2,2014mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WAWILI WAFA MAJI MJINI BUKOBA

WATOTO wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefariki dunia juzi walipokuwa wakiogelea kwenye Ziwa Victoria, eneo la gati la Kishimba mjini Bukoba. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, George Mayunga,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUPELEKA MSAADA KIJIJINI BULEMBO-KAMACHUMU

 HATIMAYE serikali imesikia kilio cha wanakijiji wa Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera na kuahidi kutoa msaada wa sh milioni 170 ili kunusuru wananchi waliopigwa na upepo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA AUDIO MH.WAZIRI MKANGARA AKITOA TAARIFA YA SHEREHE ZA UZINDUZI WA...

Bonyeza kitufe cha Play  hapa chini kumsikiliza Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo  Mh.Dkt. Fenella Mukangara (MB) ,Ikifuatiwa na maswali kutoka kwa waandishi wa Habari.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA RASMI MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA UWANJANI KAITABA...

 Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal amezindua rasmi Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa katika Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba , Mkoani Kagera leo na kuwataka watanzania Bara na Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIRTHDAY PARTY YA BI RUKIA KASSIM MAYENYA, MMEWE AFANYA KUFURU!!

Kubali au kataa, Mr &Mrs Abdulrahim (Simba) Mawenya ni miongoni mwa wanandoa  wenye majina makubwa Mjini hapa,Pia Mr  Abdulrahim (Simba) ni  mmoja wa Wadau wenye wake warembo na ni mmoja kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK VIDEO 1&2 BIRTHDAY PARTY YA BI RUKIA KASSIM MAWENYA MAY 2,2014

Katika kuhakikisha kuwa Mke wake anafurahia birthday yake ya kutimiza miaka kadhaa,usiku wa Ijumaa May2,2014  Sikiliza maneno matamu aliyo yatumia Ndg Abdrahim (Simba)pamoja nakufanya kufuru ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA KILIMANJARO TZ MUSIC AWARDS 2014 FID Q NDANI,DIAMOND APOKEA 7 NA...

 Msanii Fid Q aliye shangiliwa sana usiku wa tuzo hizo,ameweza kujinyakulia tuzo mbili ambazo ni Msanii Bora wa Hip hop na Mtunzi Bora wa Hip hop wa mwaka.Kundi la Weusi katika Wimbo Bora wa Hip...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA USIKU WA MR&MRS MODY SALUM (MAWINGO) AL-SAQRY

 Baada ya shughuli ya Ndoa na tukio la harusi iliofanyika Jumamosi  May 4,2014.Nyumbani kwao Bwana Harusi,Kijijini Kamachumu ambapo theluthi tatu ya wadau halisi wa mji huu waliamia huko kwa muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE TFF WAKATAA TIMU 16

Dar es Salaam. Jaribio la kuzipandisha klabu za Mwadui na African Lyon kinyemela limegonga mwamba baada ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kugoma kuongeza timu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA...

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO: KIMBUNGA MUGASHA NA AHADI ZA KISIASA

Na Prudence Karugendo“Mugasha” ni jina ambalo kiutamaduni Wahaya waliupatia upepo mkali, dhoruba au kimbunga, unaotokea na kusababisha maafa kwa wakazi wa eneo unalolikumba.Ni upepo unaoangusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII TEKUTANA NAYO MAHALA

Phonebook ya Mchaga 1.Massawe Muuza pumba     2.lyimo wa vifaranga 3.Shirima dk mifugo       4.Tairo duka la jumla 5.kimario wa Bia za magendo6.Mushi mchoma nyama 7.Uiso wa pikapu ya ndizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUNGAI ANUSURIKA KIPIGO VURUGU ZA VIJANA KONGWA

Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amenusurika kujeruhiwa na kundi la vijana waliokuwa wakipinga ongezeko la ushuru wa mazao na kuvamia ukumbi wa mkutano wa Kilimo uliopo Kibaigwa, wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA KCU(1990) LTD MAY 6,2014

Mwenyekiti  wa Bodi ya KCU (1990)LTD John Binushu akifungua mkutano huo rasmi.Mrajis wa Vyama vya Ushirika Kagera Mgeni RasmiMjumbe akitoa utambulishoMkuu wa Wilaya ya  Bukoba Mheshimiwa Zipporah...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO MKUTANO MKUU WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KAGERA KCU (1990)LTD

Mhasibu Mkuu KCU (1990)akiwaeleza wajumbe wa Mkutano Mkuu kuhusu changamoto ya Bei ya Kahawa Video hapo juu Meneja akitoa maelezo juu ya yatokanayo Taswira Ukumbini

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>