MISSENYI WAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU
Dk Suleiman Mustapha wa chama cha msalaba mwekundu Tanzania,mkoa wa Kagera akitoa maelezo ya kina kwa baadhi ya wachangiaji wa damu,kabla ya zoezi kuanzaBango la huduma zinazotolewa hospitali ya...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA...HILI NDILO JIWE LINALO KUWA KWAKUONGEZEKA...LIITWALO Trovants
When I first read about trovants, I couldn’t believe they were real. They sounded like objects Captain Kirk and his crew would discover on an alien planet. Strange rocks that grow when it rains and...
View ArticleAOMBA MSAADA WA MAKAZI BORA
NGARA:Na Shaaban Ndyamukama,Mwanamke wa kijiji cha Murugina kata Mabawe wilayani Ngara mkoani Kagera  anaomba msaada wa kujengewa nyumba baada ya kuishi katika mazingira magumu akilea wajukuu wake...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AENDELEZA VITA YA KUTOKOMEZA UGONJWA WA UNYANJANO...
Vita dhidi ya ugonjwa wa migomba ujulikanao kama  unyanjano  imeingia katika hatua nyingine mkoani Kagera baada ya Mkuu wa Mkoa kutangaza kuwa kipindi cha kutoa elimu, na wananchi kung’oa migomba...
View ArticleSIKILIZA AUDIO WATANGAZAJI B12, FETTY NA ADAMA WA CLOUDS FM WAKIPIGANA STUDIO
Watangazaji wa double xxl adam,fetty na b12 ni ubishani wa kitoto toto ulioanza hatimaye wakazichapa wakiwa on air kabisa,mchomvu dizaini ni km ana utata utata siku zote lakini kwasiku ya jana...
View ArticleJANUARY MAKAMBA KWA ASILIMIA 90 NITAJITOKEZA KUGOMBEA URAIS 2015
 January Makamba mbunge wa jimbo la bumbuli na naibu waziri wa mawasiliano amekiri alipohojiwa na Salim Kikeke wa BBC katika mahojiano kupitia starTvAsema hakuna haja ya kuharakisha mchakato huo sababu...
View ArticleTISHIO UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE
Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa onyo ukisema kuna "tishio dhahiri ... kutoka kundi lisilojulikana" kushambulia uwanja wa ndege wa Entebbe. Onyo hilo limechapishwa kweye tovuti ya ubalozi huo...
View ArticleMUGABE AWASHUKIA WAZUNGU TENA
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kutoa mashamba hayo kwa watu weusi."Tunasema hapana kwa wazungu wanaomiliki ardhi yetu, lazima waondoke," Bwana Mugabe...
View ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA:*Eto'o, Sanchez kwenda Arsenal?*Carvalho kwenda Man U
*Eto'o, Sanchez kwenda Arsenal?*Carvalho kwenda Man U *Adebayor aanza 'kujifua'Alvaro Negredo anataka kuondoka Manchester City na huenda akarejea Spain. City wamesisitiza kuwa mshambuliaji huyo hauzwi,...
View ArticleKASHAI 2-0 KAHORORO;KAGASHEKI CUP 2014
 Ni Alhamisi July 3,2014 Mashabiki wa Soka wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhutia Mtanange wa Soka Kati ya timu za Kata mbili JIRANI , Kashai na Kahororo.Taswira jukwaa la mchanganyiko. Kikosi kamili...
View ArticleFULL-TIME: FRANCE 0-1 GERMANY
Bila shaka wala wasiwasi ndivyo anavyo onekana shabiki wa Ujerumani muda mchache kabla ya mchezo wa Robo fainali ya kwanza ya Kombe la dunia ndani ya Maracana. Timu ya Ufaransa ilivuka hatua ya 16...
View ArticleFULL-TIME; BARAZIL 2-1 COLOMBIA; David Luiz anawapeleka Wenyeji hatua ya Nusu...
Mashabiki wa Brazil wakiwa wamebeba bango la Mick Jagger ikiwa ni utani kwa Colombia.Wanaonekana mashabiki wa BrazilMapema kabla ya mchezo ,shabiki wa Brazili anatabili matokeo ya 2-1 na kweli ndivyo...
View ArticlePATA PUNGUZO LA BEI KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI NDANI YA HUSSEIN...
Kutokana na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani duka la Hussein  wanatoa punguzo maalum kwa wateja wanaonunua bidhaa kwa kiasi kikubwa.Hussein Shop ni duka la reja reja lililopo mjini hapa lenye kutoa...
View ArticleSHULE YA MSINGI TUMAINI MANISPAA YA BUKOBA KUJENGWA UPYA KATIKA ENEO LA...
 Na: Sylvester RaphaelHabari njema kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera hasa wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tumaini iliyopo katika Manispaa ya Bukoba ambayo ipo upande wa Magharibi mwa Uwanja wa...
View ArticleBONGE LA MECHI FULL-TIME:Netherlands 0-0 Costa Rica (PENATI) Uholanzi...
FULL-TIME: Netherlands 0-0 Costa Rica (PENATI) Uholanzi wanashinda kwa 4-3Â Netherlands 4-3 Costa RicaMichael Umana savedNetherlands 4-3 Costa RicaDirk Kuyt scoresNetherlands 3-3 Costa RicaChristian...
View ArticleHIVI NDIVYO ILIVYOFANA 'FAMILY DAY' YA WADAU WA TBL BUKOBA
 Wadau wa TBL Kagera kwa siku ya jana wamesheherekea siku ya familia iliyojumuisha wafanyakazi na wadau wa Tbl ,Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel Katika Hotel ya Bukoba COOP zamani Yaasila Afisa...
View ArticlePITIA TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI JULY 6,2014
Liverpool watafanya jitihada za mwisho kujaribu kumshawishi Ashley Cole kujiunga nao (Mail on Sunday), taarifa nyingine zinasema Cole tayari ameingia mkataba wa miaka mitatu na Roma ya Italy (Sunday...
View Article