Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU ZAIDI YA 50 WAUAWA UGANDA

Watu wasiopungua 50 wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia vituo vya polisi na kambi za jeshi nchini Uganda, kwa mujibu wa jeshi.Miongoni mwa waliokufa ni washambuliaji 41 na polisi pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWANJANI KAITABA # BILELE 5-0 KIBETA #KAGASHEKI CUP 2014

Michuano ya Kombe la Mbunge 'Kagasheki Cup 2014'Imeendelea tena kwa siku ya jumapili July 6,2014ambapo timu ya Bilele imetoa dozi kwa kuichapa Kibeta mabao 5-0Kikosi cha Vijana wa Bilele maarufu kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKIWA LEO NI BIRTHDAY YA MAMA YAKE MZAZI MSANII DIAMOND AMZAWADIA GARI

Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WAMIMINIKA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI...

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI KAGERA WAPONGEZWA KWA UMOJA WAO

Mwenyekiti wa KPC,John Rwekanika wakati  akifungua mkutano huo mkuu wa waandishi wa Habari Kagera. Baadhi ya waandishi waliohudhuri mkutano mkuuMwekahazina wa KPC,Lilian Lugakingira akifafanua masuala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVUTAJI BANGI RUKSA SASA WASHINGTON

 Uuzaji wa bangi kama ulevi wa starehe utaanza kuuzwa rasmi hii leo katika jimbo la Marekani la Washington. Hili ni jimbo la pili nchini humo kuhalalisha bangi kwa matumizi ya burudani, baada ya jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA WEREMA WATANZANIA NI TUMBIRI WA KUKATWA VICHWA!

Na PRUDENCE  KARUGENDOKATIKA  makala yangu ya wiki iliyopita, niliyokuwa naunga mkono wazo la Juvenalis Ngowi la kupunguza ukubwa wa Bunge letu, nilisema kwamba upungufu wa Elimu ya Uraia kwa wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA...

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya  Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Afisa  wa PPF akimweleza Mfuko wa Pensheni wa PPF ulivyojipanga kuhudumia Wanachama wake. Kulia kwa Balozi Kamala ni Bi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)

 Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwanaFamilia ya marehemu (Bondia)  Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FULL-TIME:BRAZIL 1-7 GERMANY # TUNAPATA REKODI MPYA YA KOMBE LA DUNIA #MPAKA...

 Ni  hali ya hatari, ni haibu kubwa kwa Brazil Vilio vya mashabki vinasika uwanjani  mpaka mapumziko Germany 5-0 Brazil,tunachoweza kukujuza  ni kwamba historia ya nusu fainali ya kombe la dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA FRIENDS LANUSURIKA KUWAKA MOTO

 Basi la abiria la Kampuni ya Friends likiwa limenusurika kuteketea kwa moto mchana wa leo July 9,2014Basi hilo linalofanya safari za kila siku kati ya Mwanza Bukoba -Kampala UG ,lilikuwa likitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO MECHI ILIYO ZUNGUMZIWA SANA TOKA KUANZA KWA KOMBE LA DUNIA

Unaambiwa toka kuanza kwa kombe la dunia hii ndiyo mechi iliyozungumziwa  na watu wengi zaidi DuniaNi meche iliyochezwa jana Kati ya Wenyeji Brazil dhidi ya Ujerumani aambapo Brazil walipokea kichapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPIMA JOTO KUTOKA UKURASA WA EATV LEO!

KIPIMA JOTO KUTOKA KATIKA UKURASA WA EATV;Wanafunzi wanaomaliza kidato cha 6 kupitia mafunzo ya JKT .Je, ni kweli inaleta uzalendo kwa vijana?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARGENTINA WANASHINDA KWA PENATI 4-2 DHIDI YA NETHERLANDS

Anapunga mkono na kujiamini ni Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal akiingia Uwanjani wakati wa kupasha.Mashabiki wa Argentina wakionyesha vidole Saba.Seven up:Ndiyo habari kubwa duniani kote ,pichani ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ASHUKURU BENKI YA MAENDELEO YA ULAYA KWA MIKOPO NA MISAADA...

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akishukuru Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EIB) kwa kutoa  mikopo ya gharama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJILI UWANJANI KAITABA #MIEMBENI 1-1 RWAMISHENYE #KAGASHEKI CUP 2014

Jukwaa kuu pichani kushoto ni Ndg Juma chama Umande katibu wa TFF Mkoa Kagerana kulia kwake ni Haji Abdul Sued Kananga ambaye ni Mwakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. Balozi Kagasheki....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK MAPOKEZI WA BWANA NASSEEB ABDUL “DIAMOND PLATNUMZ”ALIPOWASILI NCHINI!

"Nikwa mda mrefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan, na jana ndiyo siku niliyorudi, kiukweli sikutegemea kukutana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI MPYA YA VANILLA KUTOKA MARUK VANILLA FARMING AND PROCESSING LTD

Ni bei mpya ya zao la Vanilla kuliangana na aina;Mapodo dalaja la Kwanza na la Pili - TShs. 9,000/= Mapodo dalaja la Tatu - TShs. 8,500/=Malipo yote yanafanyika papo hapo. Wakulima tunzeni kadi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAUTI MENGINE KWA BRAZIL YACHAPWA 3-0 NA UHOLANZI,HESABU NI MABAO 10 KWA MECHI 2

Sehemu ya mashabiki wamewekeana nadhiri ya Kuoana mbele ya UmmaPichani ni sehemu ya watazamani uwanjani wakifanya ukodak wakati Mchezaji Neymar akichukua nafasi ya kukaa kwenye benchi. Mapema mwanzoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA BW.CHINAS J. MTENZI NA BI ANNA MUSHY

Sherehe ya kuwapongeza Maharusi wetu Bw. Chinas J. Mtenzi na Bi Anna Mushy ilivyofana Usiku wa Jumamosi July 12,2014 Ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Mwanzo wa shughuli anaonekana Bwana Harusi wetu,...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>