Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGE LA MECHI UWANJANI KAITABA #MAKIRIKIRI 3-3 BAKOBA #KAGASHEKI CUP 2014

 Siku ya leo Jumapili July13,2014  majira ya Saa 10 Alasiri, kitimtimu cha michuano ya Kombe la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Mh Balozi Khamis Sued Kagasheki, Imeendelea Uwanjani Kaitaba kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI MABINGWA KOMBE LA DUNIA 2014 (BAO LA SUPER MARIO GOTZE Dk. 113...

Nini wao ni kucheza Mchezaji wa zamani wa Hispania Nahodha Carles Puyol akiwa na Mwanadada Gisele Bundchen ambaye ni mwanamitindo wakizungusha Uwanjani  Kombe la Dunia  muda mfupi kabla ya kuanza kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUKOBA- KATOMA-KYABITEMBE NA CAMERA YETU JUMATATU JULY 14,2014

  Katikati ya viunga vya Mji wa Bukoba,Majira ya saa tano asubuhi ya Jumatatu July 14,2014 , Camera yetu inakutana Uso kwa uso na Dr. Abas Byabusha pichani.Dr. Abas Byabusha ni Mtanzania na Mdau wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUHUSU KAFULILA KUHOJIWA NA TAKUKURU JUU YA ESCROW

Na Mwandishi wetuMbunge wa Kigoma kusini David Kafulila amehojiwa na kuwasilisha  ushahidi wake kwa maandishi  kuhusu suala la tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza sababu zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 KIFO CHA MA'ROOZA BENEDICTO KATANYEBILE

Leo tarehe 17, June 2014 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 5 ya kifo cha Marehemu Ma Rooza Bebedicto Katanyebile  Ibada ya kumbukumbu ya Miaka mitano ya kifo cha Marehemu Ma Roosa Benedicto...

View Article


NEWS :::::: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATANGAZWA

http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htmP0101 AZANIA CENTREP0104 BWIRU BOYS CENTREP0110 ILBORU CENTREP0112 IYUNGA CENTREP0116 KANTALAMBA CENTREP0119 KIBAHA CENTREP0123 KWIRO CENTREP0129 MARA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 KIFO CHA MA'ROOZA BENEDICTO KATANYEBILE

Leo tarehe 17, June 2014 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 5 ya kifo cha Marehemu Ma Rooza Bebedicto Katanyebile  Ibada ya kumbukumbu ya Miaka mitano ya kifo cha Marehemu Ma Roosa Benedicto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAIBUKA KIDEDEA KESI YAO MAHAKAMA YA NJOMBE DHIDI YA MBUNGE WA CCM

MAHAKAMA ya Wilaya ya Njombe imetupia mbali kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi wa CHADEMA mkoani hapa, ya kutishia kummwagia tindikali Mbunge wa Njombe Kaskazini, Deo Sanga (CCM) maarufu kama Jah...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO KUTOKA PAROKIA YA MT.MARTIN WA PORRES MWANANAMALA

Hivi ndivyo mambo yalivyo kuhusu mavazi yanayotakiwa katika Parokia ya Mt. Martin wa Porres.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHUKIWA WA UGAIDI MKENYA AKAMATWA TZ

Mmoja wa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi nchini Kenya,Jihad Gaibon Swaleh, amefikishwa mahakamani nchini Tanzania. Mshukiwa huyo amesomewa mashtaka ya kufadhili vitendo vya kigaidi nchini Kenya.Pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JELA KWA KUMTUMIA OBAMA BARUA YENYE SUMU

 Muigizaji mwanamke nchini Marekani aliyemtumia Rais Barack Obama barua iliyokuwa na sumu ya Ricin amefungwa jela kwa miaka 18.Shannon Richardson, mwenye umri wa miaka 36, kutoka Texas, pia alimtumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA TATIZO LA AJIRA NCHINI BALI FIKIRA BILA TAFAKURI

NA PRUDENCE KARUGENDOKWA  sasa kilio kilichotanda nchini ni cha ukosefu wa ajira! Vijana wengi, hasa wanaomaliza elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, wanalia na wanachokiita ukosefu wa ajira!Wao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII BEYONCÉ KUWANIA TUZO NANE MTV

Beyoncé anawania tuzo nane katika tuzo za MTV, ikiwemo video bora ya mwaka, msanii bora wa kike na unenguaji bora. Wimbo wake Drunk in Love, alioimba pamoja na mumewe Jay-Z, unapambana na nyimbo kadhaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY KWAKO KIJANA ASHMIR KHARIFA BIN OMAR

Ndugu yetu ,Kijana Mdau Ash K Bin Amar (Kharifa) Bukobawadau Blog tunazo sababu za kukukumbuka kwa siku ya leo July 18,2014 ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako. #Happy Birthday Kwako Mdau Ashmir...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA MALEYSIA IMEANGUA HUKO UKRAINE

Ndege ya Malaysia  iliyokuwa ikisafiri kutoka Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur imeanguka  huko mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa  Donetsk ambao unashuhudia mapigano makali kati ya majeshi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA SEKRETARIETI YA DUNIA YA NISHATI AKUTANA NA BALOZI KAMALA

Mkurugenzi wa Sekretarieti ya Dunia ya Nishati Bwana. Steivan Defilla (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI WA SAMI KHEDIRA, ASERNAL,CHELSEA ZAFANYIANA UMAFIA !

Sami Khedira hajasaini mkataba na klabu yake ya Real Madrid na yuko mbioni kuondoka. KLABU ya Chelsea imepata nguvu ya kupambana kumsajili Sami Khedira baada ya jumatano usiku wakala wa mchezaji huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJILI KATIKA BIRTHDAY PARTY YA KIJANA ASHMIR K BIN AMAR (KHARIFA)

Ni matukio ya picha katika Birthday Party ya Kijana Mdau Ashmir K Bin Amar (Kharifa) Usiku wa Ijumaa Jul 18,2014 alipo waalika wadau kadhaa katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa. Muonekano wa kitu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA...

Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"NIMEMALIZA USAJILI" ASEMA MOURINHO

Boss wa Chelsea, Jose Mourinho amesema amemaliza kununua wachezaji msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Filipe Luis kutoka Atlètico Madrid. Luis ni mchezaji wa nne mpya kusajiliwa...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>