Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

''NIKIWA SINGLE SINA BEI'' ASEMA HALIMA MDEE

Mbunge wa jimbo la kawe jijini Dar es Salaama katika tiketi ya Chadema Mh. Halima Mdee amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa hana bei pindi awapo Single,Mdee amesema hayo kupitia ukurasa wa Facebook wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA BASI LAMU

Watu wenye silaha wameua watu saba wakiwemo maafisa wanne wa polisi baada ya kushambulia basi la abiria katika kaunti ya Lamu kwenye mwambao wa Kenya. Watu hao walishambulia basi hilo kwa risasi karibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA TETESI ZA SOKA ULAYA

Fabio Borini, 23, anajiandaa kujiunga na Sunderland baada ya Liverpool kukubali ada ya pauni milioni 14 (Sky Sports), baada ya kumchukua Filipe Luis siku ya Ijumaa, Chelsea wanazungumza na Atlètico...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA CHADEMA KIGOMA KASK KUHUSU KUHAMA KWA VIONGOZI WA MKOA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO; JIMBO LA KIGOMA KASKAZINITAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZIChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE ILIYOTUA BARABARANI UGANDA

 Shughuli ziliathirika leo wilayani Mityana baada ya ndege kutua kwa dharura katika barabara ya magari ya Mityana. Ndege hiyo N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY KWAKO MWANADADA NANCY!

Leo July 20,2014 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa 'Birthday' kwa Mwanadada Nancy Nas 'Nafsa'Kwa umuhimu na kwa Maudhui yetu kuna watu kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa kupitia Facebook wall yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA KIJIJINI MBALE KASHASHA BUKWALI VIA KITOBO -KANYIGO

Tukio Kijini Mbale kata ya Kanyigo Wilayani MissenyeCamera ya mwanalibeneke inaingia katika Banda la kuuza nyama kijiji ni hapa maarufu kama Bucha. Baada ya kununua inafungwa katika sehemu husika ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FANYA KUPITIA KISA HIKI KAMA TULIVYO KIPOKEA.

Fanya kupitia Stori hii inayomhusu jamaa pichani kushoto. Kuna incident imetokea maeneo ya sinza naomba niwarushie kama ilivyo ili tujifunze kitu leo asubuhi wamekuja watu 6nyumbani wakasema wanatoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANCY'S 21st BIRTHDAY PARTY @TRANSIT HOTEL

 Ndugu wasomaji kama mnavyojua usiku wa Jana July 20,2014 ilikuwa Birthday ya mwanadada Nancy Nas .  Nancy's 21st Birthday Party!  Birthday Girl Nancy Nas Katika pozi. Birthday Girl Nancy in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA NA HARAKATI ZA KUSAKA UBUNGE JIMBO LA NKENGE

 Ndugu Edson Joel Byemelwa,aliyeonesha nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Nkenge Wilaya ya Missenyi  kupitia Chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA),akiongea na  viongozi wa chama hicho katika kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT;MAITI ZA WATU ZILIZO KAUSHWA ZAKAMATWA ENEO LA BUNJU

Ni tukio la muda mchache uliopota ,usiku huu wa Jumatatu July 21,2014, pichani ni Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko iliyokutwa na maiti hizo Maiti zaidi ya 50...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA YA MIILI BUNJU, WATU 8 MBARONI

Watu wanane wanashikiliwa na polisi wakiwemo Madaktari kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio l a kutupwa kwa mabaki ya miili ya binadamu jana jioni nje kidogo ya jiji la DsmHuku likiendelea na uchunguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA POLISI AFIA NYUMBANI KWA DEREVA WA BODABODA

 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga. Moshi. Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SULUM MOHAMED(SULUM ZERUZERU)LEO JULY 23,214

  Waumini wa dini ya kiislamu wakisalia mwili wa marehemu Sulum Mohamed maarufu kama (Sulum Zeruzeru) katika msikiti wa Jamia uliopo katikati ya Mji wa Bukoba,kabla ya kuupeleka makaburini jioni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA...

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia. Kitabu hicho kimefunguliwa leo hii katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWEKEZAJI WAANZA KUITIKIA WITO WA KUWEKEZA MKOANI KAGERA

Na, Sylvester RaphaelMkoa wa Kagera umekuwa ukifanya juhudi  kabambe  za kujitangaza na kuzitangaza  fursa zake mbalimbali za uwekezaji ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuja kuwekeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA...

Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SULUM MOHAMED(SULUM ZERUZERU)LEO JULY 23,214

  Waumini wa dini ya kiislamu wakisalia mwili wa marehemu Sulum Mohamed maarufu kama (Sulum Zeruzeru) katika msikiti wa Jamia uliopo katikati ya Mji wa Bukoba,kabla ya kuupeleka makaburini jioni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA ZA MSIBA WA DADA BERTHA GYALENGA MAARUFU KAMA (MREMBO)

 Taarifa zilizotufikia Jioni ya leo Alhamis July 24,2014  kuwa Dada yetu ,rafiki yetu Bertha (Mrembo) Gyalenga amefariki Dunia katika hospital ya Mkoa Kagera.Marehemu Bertha Gyalenga maarufu  kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA FIESTA 2014 'BUKOBA KUHUSIKA'

FIESTA 2014 si hii hapa...Ratiba imesha tangazwa rasmi ambapo kwa mara nyingine tena Tarehe 09 August mzigo utapigwa MWANZA. Akizungumza kupitia Clouds Fm hii leo ile mida ya XXL na B. Dozen,...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>