DOKTA SLAA AKIPEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR NA PWANI NA WAZEE WA PWANI
Matukio ya picha wakati Wazee wa Kimila wakimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na PwaniWazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab...
View ArticleHAFLA YA ROTARY CLUB BUKOBA YAFANA
Baadhi ya Wajumbe wa Rotary Club Bukoba wakisalimiana na Mkurugenzi Fiosmin Hotel Bi Lilian Rwakatare,walipowasili kushiriki hafla ya Rotary Club iliyofanyika katika hotel hiyo siku ya jana July...
View ArticleJERRY SILAA NITAGOMBEA JIMBO LA UKONGA
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Jerry Silaa kupitia akaunti yake ya Instagram amesema;'Kesho ndio siku ya mwisho kwa Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilala....
View ArticleUJUMBE WA LEO KATIKA MAHUSIANO
BORA NIKWAMBIE Kumpekenyua pekenyua mumeo, kumbana kila upenyo, kumnusanusa harufu na kumkagua shati kama lina lipsticks, kumendea simu zake kwa kila hila na viji mbinu vyovyote utakavyovitumia, kamwe...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA...
 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi...
View ArticleMBUNGE AJIVUA UANACHAMA CHADEMA
Sumbawanga. Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja...
View ArticleJK AMTEUA LAUREAN RUGAMBWA BWANAKUNU KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA BOHARI YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).Taarifa iliyotolewa...
View ArticleMAYWEATHER APOKONYWA TAJI ALILOMSHINDA PACQUIAO
Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter Floyd Mayweather amepokonywa ukanda alioutwaa baada ya kumchapa Mfilipino Manny Pacquiao mwezi Mei.Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 38 anadaiwa kushindwa...
View ArticleAJALI MBAYA YATOKEA BUKOBA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO
Ajali hiyo iliyohusisha gari aina ya Mitsubish Canter na Fuso iliyokuwa ikiendeshwa na Bw Farouk (Mwarabu) na Dreva mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja (wawili waliofariki katika ajali...
View ArticleGLOBAL EDUCATION LINK YAVIALIKA CHUO KIKUU CHA SHARDA NA LOVELY PROFESSIONAL...
Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyuo vya nje ya nchi kutoka kushoto...
View ArticleSABASABA WINDHOEK LUNCH PARTY ILIVYOJUMUISHA WADAU WA VIP WAKITAIFA NA...
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akitangaza nia na kuwakaribisha wageni mbalimbali katika hafla hiyo ya Sabasaba Windhoek Lunch...
View ArticleIN LOVING MEMORY OF THE LATE DR KATALYEBA
The Late, Dr.Philbert O.Katalyeba****** Our darling dad, Always so good,unselfish and kind,None on this earth your equal we will find,Honorable and true in all your ways,Loving and faithful to the end...
View ArticleSUMMIT YA UKAWA AT WORK
 Wakati jamaa wanaendelea kuparurana huko Dodoma, UKAWA iko stable ikiendelea na mikakati kuelekea uchaguzi mkuu namna ya kuiondoa CCM na kuongoza serikali.Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja...
View ArticleMdahalo wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wataka amani, wapinga rushwa Uchaguzi...
 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa...
View ArticleTAARIFA KUTOKA DODOMA
Updates:Vikao vyote maadili ,CC na NEC vitafanyika kesho kuanzia asubuhi kimoja baada ya kingine kwa sasa mwenyekiti anazindua rasmi ukumbi mpya wa mikutano wa CCM
View ArticleUPDATES YANAYOJIRI DODOMA BUNGENI:Rais Kikwete akivunja Bunge 09/07/2015
Kikwete: Mhe Spika, nashukuru kwa nafasi hii. Hatimaye siku ya kulivunja Bunge imewadia. Nakushukuru sana kwa kunipatia nafasi ya kulihutubia bunge ili kutimiza wajibu wangu huo wa kikatiba. Lakini...
View ArticleLIVE;FATILIA YANAYOJIRI DODOMA BUNGENI RAIS KIKWETE AKIVUNJA BUNGE 09/07/2015
Kikwete: Mhe Spika, nashukuru kwa nafasi hii. Hatimaye siku ya kulivunja Bunge imewadia. Nakushukuru sana kwa kunipatia nafasi ya kulihutubia bunge ili kutimiza wajibu wangu huo wa kikatiba. Lakini...
View ArticlePICHA UKAWA KATIKA FUTARI, KATIKATI YA KIKAO CHA MIKAKATI
Baadhi ya Wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutoka kushoto, Naomi Kaihula (Viti Maalum CHADEMA), Salum Baruan (CUF- Lindi Mjini) na Mohamed Habib Mnyaa wakishiriki futari iliyoandaliwa...
View ArticleWALIMU SABA TOKA KAGERA WANYAKUA VIKOMBE VITATU NCHINI UJERUMANI CHINI YA...
Mkoa wa Kagera umeipokea rasmi timu ya Walimu saba waliokwenda nchini Ujerumani chini ya uratibu wa shirika lisilokuwa la kiserkali la Jambo Bukoba katika mji wa Berlin kushiriki michezo na kunyakua...
View ArticleHABARI - JULY.09.2015 | AZAM TV
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi azungumzia mchakato wa uteuzi wa mgombea huku akitanabaisha hali jinsi ilivyo.
View Article