PROF TIBAIJUKA ACHANGIA MIL 60 KUKUZA MITAJI YA WANAWAKE JIMBONI MWAKE
Zaidi ya vikundi 500 vya wajasiliamali kutoka kata 17 kati ya 25 zinazounda jimbo la Muleba Kusini Mkoani Kagera vimepokea mchango wa Sh 60 milioni kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo kwa lengo la...
View ArticleCHANGAMOTO MABORESHO USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA ZATAJWA
Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari. Baadhi ya washiriki wa...
View ArticleCHADEMA; MCHAKATO WA UTEUZI WA NDANI, UCHUKUAJI, UREJESHAJI FOMU NA GHARAMA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUHUSUUTARATIBU WA UTEUZI WA WAGOMBEA NDANI YA CHAMA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
View ArticleBUNGENI LEO MAY 15,2015
Wabunge wameendelea kujadili bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ambapo baadhi ya wabunge wamesema changamoto kubwa ya rais ajae ni kuhakikisha rasilimali za nchi zinakuwa mikononi mwa watanzania ili...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA...
Tume ya Taifa ya Uchuguzi (NEC) leo tarehe 14 Mei, 2015 imeanza semina ya mafunzo ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo mpya wa uandikishaji uitwao “Biometric Voters Registraion...
View ArticleNGARA:MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI
Wauguzi wilayani Ngara mkoani Kagera wametakiwa kutumia kauli zenye kuwafariji wagonjwa wakiwa kwenye vituo vya kutolea huduma hatimaye waweze kuaminiwa na jamii na kuwapa matumaini ya kuishi wagonjwa...
View ArticleTANGAZO KUHUSU SAFARI YA HIJJA
HOTLINE +255 754 823 461 na +255 784 270 290 TANGAZO: TCDO inawatangazia wote wenye nia na uwezo waendelee kujiandikisha na kulipia kwaajili ya Ibada ya HIJA. Kwa watakaolipia mapema watapata punguzo...
View ArticleRAIS NKURUNZINZA:NITALIPIZA KISASA
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewapongeza wanajeshi wazalendo waliozuia mapinduzi na kurejesha hali ya usalama na utawala huru mjini Bujumbura.Rais Nkurunziza amewataka waburundi wazalendo...
View ArticleALIYEKUWA RAIS WA MISRI AHUKUMIWA KUNYONGA
Mahakama moja nchini Misri imetoa amri ya kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi.Mahakama hiyo ilimpata na hatia aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi kufuatia kuvunjwa kwa magereza...
View ArticleWAKUMBUKA SHAIRI LILE:KARUDI BABA MMOJA
Ni kati ya mashairi ambayo wengi waliosoma shule za msingi za umma za Tanzania watakuwa wanalikumbuka;1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake...
View ArticleWAOMBA HIFAADHI YA UKIMBIZI KUTOKA BURUNDI
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen. Mbazi Msuya akimpongeza Nahodha wa meli ya Mv. Liemba, Mande Mangapi mara baada ya kuwafikisha salama waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka...
View ArticleKIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO
Kijana Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi mwenye umri wa miaka 30Kijana Daudi Mrindoko akipata baraka za mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Mama Minde.Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu...
View ArticleUNIVERSAL BODY FITNESS YAFUNGULIWA RASMI JENGO LA SHAMO TOWERS,MBEZI BEACH
Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi...
View ArticleUNICEF:Watoto zaidi wauawa Sudan Kusini
Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto UNICEF linasema kuwa wavulana na wasichana wenye umri wa hadi miaka 7 wameuawa ,kutekwa na kubakwa katika ghasia za hivi majuzi nchini Sudan...
View ArticleWAHAMIAJI HARAMU 23 KUTOKA NCHINI BURUNDI WAKAMATWA MKOANI GEITA
Wahamiaji haramu 23 kutoka nchini Burundi wamekamatwa na idara ya uhamiaji mkoa wa Geita wakiwa safarini kuelekea katika mikoa ya Shinyanga na Tabora kujitafutia hifadhi kutokana na hali tete ya...
View ArticleWAKODI WANAUME KUTOKA NCHINI KENYA
Rombo. Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo amesema tatizo la ulevi kupindukia wilayani humo, limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njuga.Kutokana na ulevi huo, kuna madai kuwa...
View ArticleMEI 21 TUNAKUMBUKA MSWIBA HUU MKUBWA NI MIAKA 19 YA AJALI YA MELI YA MV.BUKOBA
Mei 21,1996 katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya mwanza...
View Article